Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Ila mkuu mengi ni kama unajitakia tu, omba msaada mkuu pale unapoona hali imefikia pabaya sasa kwenda kulala vichakani hiyo ni hatari sana aisehh , ulipomkosa mwalimu mkuu majengo pale si ungeerudi zako arusha maana kanauli ka kurudi arusha sio kama ulikosa hata ungeomba tu mkuu kwa watu mpaka ukajajiingiza kwenye matatizo mengine na kupigwa mvua na vyeti umevipoteza, pia wakati umeenda kiboloroni pale kwanini hukumsubiri muhusika umuombe lift wewe ukachukua uwamuzi wa kuzamia kwenye kontena yani kuna kisa sivielewi na usomi wako mkuu shida ipo wapi? Kuna watu wengi sana wanakosa nauli wanaenda kuomba stendi kwa watu na wanapata misaada
 
Tulia story Bado yaendelea usiwe na haraka
 
Ulichoongea kina mantiki kubwa sana.
 
Huyu alifanya tukio moshi mjini,na kahukumiwa hapohapo Sasa nauli ya nin.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hao ndio wale wenye wivu hadi magerezani
 
Mungu ana adhibu? Wakuu msiwe mnasoma Biblia kama riwaya! Ngoja niishie hapa huenda kwa imani yako upo sahihi.
Khaaa! sasa Umemkosea Mungu kwanini na yeye asikuadhibu
kwa akili ndogo tu ww ni baba kwenye familia mtoto akifanya kosa utamuadhibu au utamuacha?
 
Kwa mara ya kwanza gari inatembea moshi tu dar bila mtu kuchungulia kontena.ukaguzi unafanyika bila kuchungulia ata nyuma. Gari inafika dar hakuna mahali imesimama ata kwenye taa au foleni aisee. Simulizi imefika patamu
Shangaa na wewe

Ila kuna madogo walisha safiri kutoka arusha mpk dar kwa kukaa kwenye buti
 
Mkuu nia yako Nini haswa?Unataka utamu uishie njiani?
 
Mkuu nia yako Nini haswa?Unataka utamu uishie njiani?
Nashukuru,hii anafanya decisions by hindsight logic. Kwa wale ambao tuna damu ya trading yaani we don't know what's going to happen to make money tunaujua hii kitu. Kama Annie Duke a professional poker player alivyodai how to decide and how to bet.
Yaani before huwezi jua Sasa due to resulting ndio unataka umeki decision.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…