Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Ila mkuu mengi ni kama unajitakia tu, omba msaada mkuu pale unapoona hali imefikia pabaya sasa kwenda kulala vichakani hiyo ni hatari sana aisehh , ulipomkosa mwalimu mkuu majengo pale si ungeerudi zako arusha maana kanauli ka kurudi arusha sio kama ulikosa hata ungeomba tu mkuu kwa watu mpaka ukajajiingiza kwenye matatizo mengine na kupigwa mvua na vyeti umevipoteza, pia wakati umeenda kiboloroni pale kwanini hukumsubiri muhusika umuombe lift wewe ukachukua uwamuzi wa kuzamia kwenye kontena yani kuna kisa sivielewi na usomi wako mkuu shida ipo wapi? Kuna watu wengi sana wanakosa nauli wanaenda kuomba stendi kwa watu na wanapata misaada