Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Naona balaa lingine linazuka.
 
Misamaki mkulu umenikumbusha Mwanza Iloganzala misamaki mijike yenye vichwa vyekundu ilikua ni kuitafuna tu na kupeleke mnyeke/amapiano kwa watoto wa SAUT na CBE.Samaki oyeee.
 
Anko nimesubiri sana hii episode ya 21 hadi saa hizi saa tano usiku.nashukuru nimeisoma naomba nilale sasa,ila kesho panapo majaaliwa jitahidi uctuchomeshe sana mahindi!
 
Dah maisha yana fumbo kubwa sana
 
Anko alimpa pete ya uchumba kabisa huyo Mzambia?
 
Acheni kutafutiza visababu sababu kama tatzo n laptop basi naamin wazungu wote wangekua washakufa Mana wameiba sana mali afrika lakn wao ndo wanazid kuendelea kuwa juu kila uchwao
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ila kweli asee
 
[emoji28][emoji28] Kuna tukio baya linakuja sio
 
Mji wa mwisho kuingia custom ya lumbumbashi kutokea zambia unaitwa chilabombwe upo njia panda kidogo kuicha Kitwe hiyo chelenji sijailewa au ulikuwa una maanisha selenji mji mdogo baada kuimaliza Mpika . Twende kazi.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Mlisema passport ni picha?
Kama jirani na ulipo kuna stationery (hata ndogo ya kawaida) nenda, kisha waambie wahusika unahitaji passport.

Vitu vingine sio vya kuvutana hat kidogo. Anayesema barabara akimaanisha "sawia" na anayesema barabara akimaanisha "njia ya kupita magari" wote wako sahihi kutegemea na aina ya mazungumzo na sehemu husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…