Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Polisi wakawachukua tena? Kumekucha kumekucha
 
Mkuu walinzi wa custom pale Wana mambo ya hovyo Sana mm tulifikishana mpaka polisi kisa nimepiga picha kwenye parking ya malori ila Ngoma iliwageukia wakaanza kuniomba niwapoze hata Hela ya mafuta kidogo coz walitumia gari yao ila nikawakazia
 
ila pamekaa kaa tu pale ni kweli vwawa ndio ipo ofisi zao migreshen.unashuka na kanjia flan hiv ukitokea sokon pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…