Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Hapa ndio ile dawa ya bibi wa Bagamoyo ilianza kufanya kazi sasa...
Basi nikaona kama nimekalishwa hivi, nikahisi kitu kama tairi nimevalishwa huku nikekaa, Mara namwagiwa kama maji hivi kumbe ni mafuta taa, nikajaribu kufungua macho kwa mbali nikaona watu wamenizunguka, mmoja ana kibiriti anahangaika kukiwasha, Basi nataka nimwambie nisamehe usifanye hivyo ila mdomo haufunguki, nataka ninyooshe mkono nimzuie ila siwezi, Mara nikapigwa na kitu sjui ni nini, kuanzia hapo ndo sikujua nini kiliendea tena, nikawa nimefloot,
 
SEHEMU YA KUMI NA MOJA

Ilipoishia,,,,,,,,,,,,,,

Sasa baada ya kusota sana bila mafanikio nikaanza kwenda kushinda kwenye beting center, Pale riverside kwa ndani kuna sehemu kulikiwa na beting ya primier pale nikawa naenda kushinda pale, Sity akinipa buku tano nabania paka inabaki jero naenda kubeti pale, kulikuwa na mpira, michezo ya namba, michezo ya mmbwa, farasi na mingine, ikawa ndo hivyo ili mradi muda uende nirudi geto nilale,

Endelea,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Maisha yangu yakawa magumu sana, sema namshukuru sana Sity alinipiga tafu sana, mbali na kunipa mbusu ila mambo mengine ya kimaisha alikuwa ana nisave sana, nlichokuwa nampendea si mchoyo,

Alafu anapenda kugegedwa ile mbaya, yaani mi nlikuwa siombi eti, yaan ye akija tu anajua nini cha kufanya, kuna wakati night kali ananishtua usingizini anataka mambo, basi mi najipigia tu nnavyotaka, Au mda mwingine anapika kajifunga mtandio mwepesi tu kila kitu ndani unaona, basi mzuka ukinipanda namfata pale pale jikoni ananibanjulia mzee nakula mzigo,

Daah niliinjoy sana maisha na Sity, alafu anapenda nikiwa nae nijifeel proud kuwa naye, Utakuta tunatembea barabarani mara kaniegemea mara kanishika kiuno, Au tupo sehemu tunakula anajua kabisa sina hela, basi anatoa hela ananipitishia chini ya meza kisiri siri ili nilipie mimi, Au yupo na class mate wenzake mara anilalie kifuani, daah sa haya mambo mi mtoto wa kijijini naona aibu, ila ndo hivo maisha yalikuwa,

Sasa baada ya kutafuta kazi sana bila mafanikio, kuna siku nikaona tangazo la kazi kwenye nguzo, mshahara lak 3, nikasema huu mbona unanitosha, nikachukua namba zao nikawavutia waya, wakanielekeza wapi walipo, wakasema ni Tabata kinyerezi kesho niende, basi kesho yake nikabeba cv zangu huyoo, sina hata mia mfukoni, hivyo ikabidi nikanyage kwa mguu, ni mbali kichizi ila nikafika, kuna nyumba ina geti jeusi,

Nikaelekezwa nikaingia, basi nikawapa cv zangu pale wakasema watanipigia, nikatoka nikarudi paka tabata mataa pale nikashika njia naelekea vetenari hapo, kuna sheli ya Oil com pale nliona tangazo lao nao wana kazi,

Basi nikakanyaga paka nikafika , nikamuulizia jamaa anauza mafuta pale akaniambia hakuna tangazo kama hilo, hao ni matapeli ndo wanabandika hayo matangazo, tena nna bahati nimeenda mwenyewe ningewapigia lazima wangenitapeli, nikasema poa, nikaondoka nikarudi hadi tazara, nikashika njia kuelekea kiwanda cha soda cha pepsi, nikakanyaga nikafika, nikaacha cv yangu pale kwa walinzi nikaondoka, kwa vile kampuni ya tata ipo maeneo yale nako nikaenda ingawa wao wakasema wanatumiaga zaidi agents kupata wafanyakazi ila nikawaomba tu wachukie cv yangu huwez jua huko mbele,basi wakachukua,

Nikaanza sasa safari ya kurudi geto, hapo miguu inauma balaa, Nikafika geto nimechoka vibaya sana nikaishia kulala, nakuja kushtuliwa na Da J kanletea msosi, akaniambia we vipi unalala lala una mimba, au upo period, unajua tena Da J tunataniana,

Mi namwambiaga yaan we siku ukiingia kwenye 18 zangu nakupinda nakula mzigo huo na nna kupa mimba siku hiyohiyo, anasema aaaah wapi wewe, labda usubiri nimekufa, basi tunataniana hivyo yaan, ni mdada flani kanizidi age ila ni mcheshi sana alafu yupo simple,

Basi nikala nikalala siku ikaisha, basi maisha yangu yakawa hivyo, kutembea kutoka geto hadi posta na kurudi kwangu kawaida sana,

Basi kesho yake wale jamaa wakanicheki, wakasema kesho yake niende asubuhi na barua ya mwenyekiti wa mtaa na passport, nikafanya mpango nikapata hivyo vitu, kesho yake nikadamka mapema sana ili niwahi kufika pale, nikakanyaga kama kawaida yangu, nikafika pale , kuingia nakuta vijana wengi wamepanga mstari kama jeshini vile, wanapiga jaramba na mazoezi, basi mi nikapita nikaenda huko ndani, Nikakutana na meneja pale akanihoji hoji pale, mara akamwita jamaa mmoja akamwambia anipe mafunzo, basi nikaenda na yule jamaa,

Kutoka nje nakuta nawengine nao wanatawanyika wamebeba mifuko yao, mabeseni na vyombo, na sisi tukabeba yetu, nikasema khaa!!! kazi yenyewe ndo hii, nikacheka sana moyoni, leo injinia anaenda kutembeza mabeseni hatari,

Basi tukatoka nje getini pale, bana mi nikamchana jamaa live, nikamwambia mwanangu kazi yenyewe ndo hii, mi staweza kwa kweli akaniliza kwanini? Nikamwambia nimekwambia siwezi, nikaanza kuondoka zangu, jamaa ananiita, oya twende basi kwa meneja ukamwambie, nikamwambia we mwehu nini, meneja unamjua wewe, nikala zangu kona nikimwacha jamaa kasimama pale kapigwa na butwaa asijue cha kifanya,

Basi nikarudi geto, Sity akaja nikamsimulia acha acheke, alicheka paka aka kaa chini machozi yanamtooka,

Siku moja natoka zangu pale meridian bet ( Ni meridian bet na si primier beti kama nlivyosema mwanzo), nikapita zangu short cut moja pale riverside, unapita nyuma ya ukuta wa tanesco unakuja kutokea kanisa la ufufuo na uzima, una vuka barabara ya morogoro, unashuka bondeni unavuka daraja la mbao una ebukia msewe,

Basi nikiwa kwenye ile njia kabla sijafika kwenye ile mitambo ya gesi, sina hili wala lile mwanangu nilishtukia nimekula roba iyo, Nikahisi kama koo linatoka vile, wakati najibaraguza niichomoe machizi wengine wananizama mifukoni, kuja kuniachia nikapata kama wenge kwanza, macho hayaoni vizuri, kugeuka nyuma sioni mtu, mzee nataka kupiga kelele ila sauti haitoki,

Nikajinyoosha shingo pale, kujisachi nikakuta simu yangu smart hamna, nlikuwa na buku 2 mfuko wa nyuma nayo hamna,

Daah haya majanga sasa, basi nikajikokota zangu kuelekea geto, ila shingo naiskia kama vile imefungiwa kamba alafu inavuta gari, Daah hawa jamaa si watu aisee, yan ukicheza unakufa hivi hivi,

Itaendelea
Hatar tupu
Bonge la story ,kabali ya kuvunja shingo.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
True love is really na ina exist kabisa. Big up kwa Sity. Huyo Sity amefanya nimkumbuke kipenzi wangu wa kipindi hicho, walahi yule mwanamke alinipenda sana. Yaani ule upendo alikuwa akinipa nilihisi kabisa hapa nimetekwa, sikuwahi kupendwa namna ile hapo kabla. Yaani yule mwanamke nashidwa ata nieleze vip, kwenye mbususu sasa napewa naichakata vilivyo tena napewa yote nishindwe mm tu. Tena muda na wakati wowote nitakao taka mm, hana hiyana kabisa. Yule mwanamke pale kwenye mbususu ndio alinipatia kabisa yaani, aaaah walahi yule mwanamke basi tu.
 
Back
Top Bottom