Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Sikonge,Tutuo,Ipole,Chabutwa ,Mibono,Usunga one,kulikuwa hakuna Shule ya sekondari hata moja,hadi ilipofika 1995 ndiyo ikaanziahwa Ngulu sekondari.

Mtunzi ni wa mchongo.
Kama kazaliwa 80 mwishoni labda tuseme 88 ina maana hiyo 95 alikuwa ana miaka 7 na labda darasa la pili. Kwahiyo hakuna cha maana unachobisha.
 
Sikonge,Tutuo,Ipole,Chabutwa ,Mibono,Usunga one,kulikuwa hakuna Shule ya sekondari hata moja,hadi ilipofika 1995 ndiyo ikaanziahwa Ngulu sekondari.

Mtunzi ni wa mchongo.
Punguza ujuaji.
Jamaa kazaliwa miaka ya 80
Na si kwamba miaka ya 80 ndiyo kaanza shule.
Ina maana tutumie simple logic.
Kazaliwa 1980.
Akiwa na miaka 7 akaanza drs la 1
Ina maana 87 kaanza la 1
94 KAMALIZA LA 7.

hapo hapo vipi?

Lakini logic ya story yake ni kwamba jamaa kasoma shule ya Kata na alikuwa 4m 6 enzi ya mabomu ya Gomz nadhani ilikuwa 2010/11
Na zao.la shule za kata lilitamaradi rasmi miaka ya 2000+
SASA possible mtoa maada ni mzaliwa wa above 1985+
Na uzuri wake hapo juu kasema kabisa kazaliwa mwishoni mwa miaka ya 80.
Probably Tena ni 1987+
Yaani mleta maada inaonesha ana miaka 33-36
Anacheza hapo
Punguza ujuaji usio na maana.
 
M
Ila Mkuu mm niwe muwazi tu wizi ulomfanyia mwenzako wa PC ndo sababu ya yote hayo yalokukuta fimbo ya Mungu imekuchapa haswaaa na hili ni funzo kwa wengine wizi sio mzuri ona sasa ulivoteseka vyote hivo

ila Pole mkuu ndo Maisha
Mkuu wezi wapo na wanaiba kila siku na maisha yanaendelea na wanajenga kwa pesa za kuiba. Laptop haiwezi Kuwa adhabu ya yote haya. Kwangu Mimi naweza sema kila mtu anamapito yake hapa duniani.
 
Back
Top Bottom