Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Ila Mkuu mm niwe muwazi tu wizi ulomfanyia mwenzako wa PC ndo sababu ya yote hayo yalokukuta fimbo ya Mungu imekuchapa haswaaa na hili ni funzo kwa wengine wizi sio mzuri ona sasa ulivoteseka vyote hivo

ila Pole mkuu ndo Maisha
Huo wizi mnaomsema kwann ulimdhuru yy tu? Mbna wanasiasa wanaiba mabilion ya pesa na wakistaafu wanakula bata wao mpaka vijukuu vyao. Kwa nn yeye tu?
 
Wao hakuna mtu anayewaendea kwa mganga...jamaa aliendewa kwa mganga akaruka na dawa
 
Kwa hiyo hauamini ktk dawa ile ya bibi wa Bagamoyo?
Ila Mkuu mm niwe muwazi tu wizi ulomfanyia mwenzako wa PC ndo sababu ya yote hayo yalokukuta fimbo ya Mungu imekuchapa haswaaa na hili ni funzo kwa wengine wizi sio mzuri ona sasa ulivoteseka vyote hivo

ila Pole mkuu ndo Maisha
 
Gereza ni Kama Kijiji fulani hivi chenye Sheria Kali. Mle Kuna matajiri wanyonge kila kitu. Wachawi ,waganga . Pia wambeya waongo bila kusahau humo kunavibaka pia. Walawiti wapo. Mkuu huko kunawafanyabiashara wa nyanya, dagaa, kalanga mboga za majani etc. Mkuu hicho ni Kijiji kamili kabisa
Nakubali
 
Jela, kel,jela, daaah pole Sana ninamiezi 69 toka nitoke huko, nilikaa miezi 8 huko nikiwa mahabusu. Ogopa Jela kwenye Biblia wanasema dini iliyosafi ni kutembelea wafungwa. Hakika wafungwa wote siyo wabaya na siyo wote wametenda uhalifu. Pole sana.
Hebu tupe story yako mkuu... kwenye uzi mwingine lakini, uni tag
 
Hii nchi hii, ndiyo maana mtu kama Jiwe aliweza kuwa Rais
We jamaa kweli humpendi jpm, yaani kila sehemu lazima umdiss tu hata Kama hahusiki na topic.....yule jamaa anakubalika kinoma hata kama amekufa, katika waliotumbuliwa na yule mzee naamini na wewe umo maana chuki yako imekita mizizi na hutamsahau hadi unakufa.
 
Gereza ni Kama Kijiji fulani hivi chenye Sheria Kali. Mle Kuna matajiri wanyonge kila kitu. Wachawi ,waganga . Pia wambeya waongo bila kusahau humo kunavibaka pia. Walawiti wapo. Mkuu huko kunawafanyabiashara wa nyanya, dagaa, kalanga mboga za majani etc. Mkuu hicho ni Kijiji kamili kabisa
Biashara si haziruhusiwi?
 
We jamaa kweli humpendi jpm, yaani kila sehemu lazima umdiss tu hata Kama hahusiki na topic.....yule jamaa anakubalika kinoma hata kama amekufa, katika waliotumbuliwa na yule mzee naamini na wewe umo maana chuki yako imekita mizizi na hutamsahau hadi unakufa.
Awe yeye Rais wa nchi bs afanye anayoyataka alaf hajui tu Watanzania waliowengi wanakumbuka uwepo wa JPM kwa sas
 
Uko sahihi mkuu,watoto wali nazi ndio wataona hii ni chai,ila kuna visa tukija kuvitoa humu raia wataona ni chai ilozidi tangawizi tena bila kashata,au ni movie la Kihindi kumbe ndio uhalisia wa maisha yetu.
Inamaana unaamini hii stori ni ya kweli? Kwani ukipitia magumu ndo uamini kila story inayoeleza kupitia magumu!? Hii stori ni tamu ambayo mtunzi amejitahidi kutunga....mtunzi yupo vizuri maana anatengeneza matukio ya kusisimua
 
Back
Top Bottom