Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo wizi mnaomsema kwann ulimdhuru yy tu? Mbna wanasiasa wanaiba mabilion ya pesa na wakistaafu wanakula bata wao mpaka vijukuu vyao. Kwa nn yeye tu?Ila Mkuu mm niwe muwazi tu wizi ulomfanyia mwenzako wa PC ndo sababu ya yote hayo yalokukuta fimbo ya Mungu imekuchapa haswaaa na hili ni funzo kwa wengine wizi sio mzuri ona sasa ulivoteseka vyote hivo
ila Pole mkuu ndo Maisha
Kwa nini?Hii nchi hii, ndiyo maana mtu kama Jiwe aliweza kuwa Rais
Wao hakuna mtu anayewaendea kwa mganga...jamaa aliendewa kwa mganga akaruka na dawaHuo wizi mnaomsema kwann ulimdhuru yy tu? Mbna wanasiasa wanaiba mabilion ya pesa na wakistaafu wanakula bata wao mpaka vijukuu vyao. Kwa nn yeye tu?
Ila Mkuu mm niwe muwazi tu wizi ulomfanyia mwenzako wa PC ndo sababu ya yote hayo yalokukuta fimbo ya Mungu imekuchapa haswaaa na hili ni funzo kwa wengine wizi sio mzuri ona sasa ulivoteseka vyote hivo
ila Pole mkuu ndo Maisha
Huo wizi mnaomsema kwann ulimdhuru yy tu? Mbna wanasiasa wanaiba mabilion ya pesa na wakistaafu wanakula bata wao mpaka vijukuu vyao. Kwa nn yeye tu?
Kuna jamaa nimetoka naye kijiji kimoja aliuawa kisa kufananishwa na kibakaNilinusulika kuuwawa huko tabora mtaa unaitwa salmini....mbinu za kimedani ziliniokoa
Polisi walimpanga ili washinde kesiDah!! Huyo Dada aliekusingizia ulimfukuza na kutaka kumuibia simu yake mhh
NakubaliGereza ni Kama Kijiji fulani hivi chenye Sheria Kali. Mle Kuna matajiri wanyonge kila kitu. Wachawi ,waganga . Pia wambeya waongo bila kusahau humo kunavibaka pia. Walawiti wapo. Mkuu huko kunawafanyabiashara wa nyanya, dagaa, kalanga mboga za majani etc. Mkuu hicho ni Kijiji kamili kabisa
Kifungo cha bibi kilikuwa kifanye kazi ndani ya wiki moja....kilifeliUmeona eeeh? Halafu jamaa anajifariji, nina uhakika 99% kuwa jamaa alikuwa na kifungo. Kama aliweza kumgundua kuwa ndiye aliiba laptop, atashindwaje kumfunga kama alivyoahidi?
Hebu tupe story yako mkuu... kwenye uzi mwingine lakini, uni tagJela, kel,jela, daaah pole Sana ninamiezi 69 toka nitoke huko, nilikaa miezi 8 huko nikiwa mahabusu. Ogopa Jela kwenye Biblia wanasema dini iliyosafi ni kutembelea wafungwa. Hakika wafungwa wote siyo wabaya na siyo wote wametenda uhalifu. Pole sana.
We jamaa kweli humpendi jpm, yaani kila sehemu lazima umdiss tu hata Kama hahusiki na topic.....yule jamaa anakubalika kinoma hata kama amekufa, katika waliotumbuliwa na yule mzee naamini na wewe umo maana chuki yako imekita mizizi na hutamsahau hadi unakufa.Hii nchi hii, ndiyo maana mtu kama Jiwe aliweza kuwa Rais
Tena hususan sisi wanaume kwenda jela mda wowote tu kutokana na mazingira ya utafutajiUnafungwa jela bila hatia watu wote wanakuona muhalifu isipokua wewe tu na moyo wako ndo unajua hujamfanyia mtu yeyote ubaya
Kweli sisi wote ni wafungwa watarajiwa
Biashara si haziruhusiwi?Gereza ni Kama Kijiji fulani hivi chenye Sheria Kali. Mle Kuna matajiri wanyonge kila kitu. Wachawi ,waganga . Pia wambeya waongo bila kusahau humo kunavibaka pia. Walawiti wapo. Mkuu huko kunawafanyabiashara wa nyanya, dagaa, kalanga mboga za majani etc. Mkuu hicho ni Kijiji kamili kabisa
Awe yeye Rais wa nchi bs afanye anayoyataka alaf hajui tu Watanzania waliowengi wanakumbuka uwepo wa JPM kwa sasWe jamaa kweli humpendi jpm, yaani kila sehemu lazima umdiss tu hata Kama hahusiki na topic.....yule jamaa anakubalika kinoma hata kama amekufa, katika waliotumbuliwa na yule mzee naamini na wewe umo maana chuki yako imekita mizizi na hutamsahau hadi unakufa.
Inamaana unaamini hii stori ni ya kweli? Kwani ukipitia magumu ndo uamini kila story inayoeleza kupitia magumu!? Hii stori ni tamu ambayo mtunzi amejitahidi kutunga....mtunzi yupo vizuri maana anatengeneza matukio ya kusisimuaUko sahihi mkuu,watoto wali nazi ndio wataona hii ni chai,ila kuna visa tukija kuvitoa humu raia wataona ni chai ilozidi tangawizi tena bila kashata,au ni movie la Kihindi kumbe ndio uhalisia wa maisha yetu.