Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Mkuu hii stori nimeandika mwenyewe kwa mkono wangu, haipo popote unaweza kuipata,

Kama vipi natulia kidogo nisubiri, atakae weza kuniletea sehemu inayofata nampa hela,

Pia mi staki hela ya mtu, kama we unataka chukua wewe ukapige hela huko unakotaka
Usijibizane na huyo anakuzingua tu, mara anasema umeiba halafu anasema tena usiitoe story yako bure, wakati keshasema umeiba
 
Mkuu hii stori nimeandika mwenyewe kwa mkono wangu, haipo popote unaweza kuipata,

Kama vipi natulia kidogo nisubiri, atakae weza kuniletea sehemu inayofata nampa hela,

Pia mi staki hela ya mtu, kama we unataka chukua wewe ukapige hela huko unakotaka
Ndugu muandishi
Achana na Kelele
Kuna watu waachache tuna appreciate unachokifanya,
Endelea tuu

Stori Ina uhalisia na. Unajua unachokiandika
 
Sasa unazidisha sana uongo ili story ivutie... Utaanza kuwashtua watu. Maana si lazima mtu ukitunga story useme ilikutokea.sometime unatakiwa kuwa mkweli tu kuwa hii ni story ya kubuni kwani huwa mnalazimishwa mseme yalikutokea? Huu mchezo unakomaa sana JF. Na story hii umeichukua kwa Binadugu kule group la whatsapp unaleta huku ukidai ni yako. Siyo sahihi ndo maana walikuita mwizi sababu kama hizi.
Vipi kama huyo binadugu ndiye Akili Sina alafu we ni nani unayempangia matumizi ya nafsi kwenye kuwasilisha stori yake.Shule ulienda kuwachungulia madame zako
 
Sasa unazidisha sana uongo ili story ivutie... Utaanza kuwashtua watu. Maana si lazima mtu ukitunga story useme ilikutokea.sometime unatakiwa kuwa mkweli tu kuwa hii ni story ya kubuni kwani huwa mnalazimishwa mseme yalikutokea? Huu mchezo unakomaa sana JF. Na story hii umeichukua kwa Binadugu kule group la whatsapp unaleta huku ukidai ni yako. Siyo sahihi ndo maana walikuita mwizi sababu kama hizi.
Kuku wewe acha sisi tupate madini Kama wewe hutaki pita kushoto
 
Hii story unatakiwa uchangiwe bundle wenzako wana make pesa sana. Kwa kuwa yule jamaa wa Whatsapp yeye anaitoa bure wewe anzisha group wenzako huwa wanapata pesa. Na si lazima useme yalikutokea hapo lazima watu watakushtukia unajua wadada wengi wanapenda stories. Kuna jamaa naye anakuja ana copy kwako anaenda irusha instagram anapata pesa yake vizuri kujiunga tsh 3000 na watu wanalipa.

Wewe unatoa whatsapp unaleta JF. Yeye anatoa JF anapeleka insta sema tu yeye ana akili anawatoza watu pesa na anapata. Ndo mjini palivyo.
Hakika una wivu wa kike kabisa. Ukiulizwa unawashwa wapi huwezi sema
 
Mkuu hii stori nimeandika mwenyewe kwa mkono wangu, haipo popote unaweza kuipata,

Kama vipi natulia kidogo nisubiri, atakae weza kuniletea sehemu inayofata nampa hela,

Pia mi staki hela ya mtu, kama we unataka chukua wewe ukapige hela huko unakotaka
Achana naye mhandisi we shusha mambo sisi tumetulia kwenye vimbweta tunakula DS ya maisha.... Fanya hiphop kama unashuka na pascal language au C.....

Huyo anataka kukutoa kwenye reli apate likes na comments tu.
 
Hii story unatakiwa uchangiwe bundle wenzako wana make pesa sana. Kwa kuwa yule jamaa wa Whatsapp yeye anaitoa bure wewe anzisha group wenzako huwa wanapata pesa. Na si lazima useme yalikutokea hapo lazima watu watakushtukia unajua wadada wengi wanapenda stories. Kuna jamaa naye anakuja ana copy kwako anaenda irusha instagram anapata pesa yake vizuri kujiunga tsh 3000 na watu wanalipa.

Wewe unatoa whatsapp unaleta JF. Yeye anatoa JF anapeleka insta sema tu yeye ana akili anawatoza watu pesa na anapata. Ndo mjini palivyo.
SIO RAHISI HIVYO. ANZISHA GROUP LA WHATSAPP KISHA ANZA KUCHAJI WATU BUKU BUKU UONE KAMA NI RAHISI.
 
Ulisha ondoka kwa dada yako?
Sasa unazidisha sana uongo ili story ivutie... Utaanza kuwashtua watu. Maana si lazima mtu ukitunga story useme ilikutokea.sometime unatakiwa kuwa mkweli tu kuwa hii ni story ya kubuni kwani huwa mnalazimishwa mseme yalikutokea? Huu mchezo unakomaa sana JF. Na story hii umeichukua kwa Binadugu kule group la whatsapp unaleta huku ukidai ni yako. Siyo sahihi ndo maana walikuita mwizi sababu kama hizi.
 
Hii inawezekana ikawa ndio chanzo cha matatizo.

Kumbuka yule Mganga aliwapa dawa Room mate wote na kuna maneno aliyanuia ndio hayo yamesababisha hekaheka hizi. Ili awe salama inabidi arudi kule kwa yule Mganga akakiri kosa lake kisha akamuondolee hii laana inayomuandama.

Jamaa anaweza kuwa mtu wa mateso maisha yake yote.
Usiwaamini Waganga ata chembe apo Mungu anamuadhibu Akili sina na wala sio mganga
waganga ni waongo mnoo
 
kawaulize hao watu wanavoshinda mahospitalini yni Mungu anakuadhibu kwa njia nyingi mnoo
Utasikia huyu anaumwa kensa ya damu,mishipa imeziba yte hayo ni Mateso unayopewa na Mungu kwa yale uloyatenda
 
Mungu ana adhibu? Wakuu msiwe mnasoma Biblia kama riwaya! Ngoja niishie hapa huenda kwa imani yako upo sahihi.
 
Mkuu ukiachiwa gerezani hupewi chochote hata nauli?
Nijuavyo mie Magereza wanauwezo wa kumfikisha mfungwa aliyemaliza kifungo nyumbani kwake hata kwa basi,wanachotakiwa kufanya ni kumchukua mfungwa na kwenda nae stendi/kituo cha basi na kumpandisha gari uwezo huo wanao ila sheria ndivyo inavyotaka ila kutokana na mazingira yetu kibongobongo siku ukitoka unatoka getini mwenyewe
 
Back
Top Bottom