Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Usijibizane na huyo anakuzingua tu, mara anasema umeiba halafu anasema tena usiitoe story yako bure, wakati keshasema umeibaMkuu hii stori nimeandika mwenyewe kwa mkono wangu, haipo popote unaweza kuipata,
Kama vipi natulia kidogo nisubiri, atakae weza kuniletea sehemu inayofata nampa hela,
Pia mi staki hela ya mtu, kama we unataka chukua wewe ukapige hela huko unakotaka