USILOJUA kuhusu mpango wa kufuta Sheria ya kutaifisha Mali

Kitchener

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
13,833
Reaction score
27,753
Dunia yote, ukifanya uhalifu, au kutumia gari au kitendea kazi kufanya uhalifu, ili kukomesha tabia za kihalifu, matunda ya uhalifu au kitendea kazi huwa vinataifishwa.

Jiulize, kwa nini PM amekuja leo ati ametumwa kuwa sheria ya kutaifisha mali ifutwe?

Awamu hii wameiba sana, wanaogopa wao au watoto wao watakuja kuporwa mali siku kikinuka.

Wamejifunza kwa mtoto wa Rungu Zambia, aliporwa nyumba kibao za kitajiri ambazo zilikuwa za kifisadi, sasa hao wanaoturingishia mipesa na migari, watoto wa viongozi, unafikiri wataachwa siku uongozi mpya ukiingia aidha kwa wazazi wao kufa au kutochaguliwa? Unafikiri wanamlinda nani? kweli wanalinda wafanyabiashara?

chukua mfano, mtu amefanya ujambazi wa kutumia silaha, ameua na kubaka wakati wa kupora, zile mali alizochuma zisitaifishwe? au fisadi kawa kiongozi ameibia nchi balaa, asitaifishwe?

Hauoni kama ni mtego ule ule wa kulinda mali za viongozi kama ulivyokuwa mtego wa kuingiza kwenye katiba kwamba rais asishitakiwe hivyo chochote anafanya hakuna mahakama hapa nchini itamshitaki kumbe walikuwa wanalinda maisha yao wala sio ya watanzania. Kwa mtu muungwana na mwenye macho ya sheria, fumbukeni macho, hapa tunapigwa.

Enzi zile kina chenge walipinga sana baadhi ya sheria zisiingie nchini kumbe walikuwa wanalinda vijisenti vyao walivyotuibia wasijekuja kuporwa wao au watoto wao. hawa viongozi tunajua washazeeka hawana muda mrefu watakufa tu, shida ni kwa watoto wao, wataachiwa mabilioni, na wanaogopa kutaifishiwa; hata kama zipo dubai akija kiongozi mpya atajfishe. naona wameanza kuwaaandaa watanzania kisaikolojia polepole ili wakileta sheria ya kuwalinda tusishtuke. Mungu ibariki nchi yetu.
 
nawahakikishia, huu ni mpango wa kutunga au kufuta sheria itakayowalinda mafisadi waliokwapua mali; wamehaha wamejifunza kwa yaliyotokea kwa Lungu zambia, watoto wao watafirigiswa tu wao wakifa, hata wakipeleka nje miamala ya kibenki imeacha alama.
 
Wanadamu wengi wetu hatujaumbwa kuridhika. Mtu ameshika nyadhfa mbalimbali, ana ela hadi anakufa yeye na familia yake ila bado ana tamaa na mali zaidi.
 
Dunia yote, ukifanya uhalifu, au kutumia gari au kitendea kazi kufanya uhalifu, ili kukomesha tabia za kihalifu, matunda ya uhalifu au kitendea kazi huwa vinataifishwa.

Jiulize, kwa nini PM amekuja leo ati ametumwa kuwa sheria ya kutaifisha mali ifutwe?

Awamu hii wameiba sana, wanaogopa wao au watoto wao watakuja kuporwa mali siku kikinuka.

Wamejifunza kwa mtoto wa Rungu Zambia, aliporwa nyumba kibao za kitajiri ambazo zilikuwa za kifisadi, sasa hao wanaoturingishia mipesa na migari, watoto wa viongozi, unafikiri wataachwa siku uongozi mpya ukiingia aidha kwa wazazi wao kufa au kutochaguliwa? Unafikiri wanamlinda nani? kweli wanalinda wafanyabiashara?

chukua mfano, mtu amefanya ujambazi wa kutumia silaha, ameua na kubaka wakati wa kupora, zile mali alizochuma zisitaifishwe? au fisadi kawa kiongozi ameibia nchi balaa, asitaifishwe?

Hauoni kama ni mtego ule ule wa kulinda mali za viongozi kama ulivyokuwa mtego wa kuingiza kwenye katiba kwamba rais asishitakiwe hivyo chochote anafanya hakuna mahakama hapa nchini itamshitaki kumbe walikuwa wanalinda maisha yao wala sio ya watanzania. Kwa mtu muungwana na mwenye macho ya sheria, fumbukeni macho, hapa tunapigwa.

Enzi zile kina chenge walipinga sana baadhi ya sheria zisiingie nchini kumbe walikuwa wanalinda vijisenti vyao walivyotuibia wasijekuja kuporwa wao au watoto wao. hawa viongozi tunajua washazeeka hawana muda mrefu watakufa tu, shida ni kwa watoto wao, wataachiwa mabilioni, na wanaogopa kutaifishiwa; hata kama zipo dubai akija kiongozi mpya atajfishe. naona wameanza kuwaaandaa watanzania kisaikolojia polepole ili wakileta sheria ya kuwalinda tusishtuke. Mungu ibariki nchi yetu.
Wao watunge ila siku mechi ikapigwa mpinzani akashinda tu nakuhakikishia hakuna kitu watalinda na Wala Sheria hazitawalinda😂😂😂😂😂😂
 
Hata Leo spika wa bunge uganda kanyanganywa mali
 
Sheria au katiba wakisha ichezea kuna siku hayo waliyochezea wananchi utaweza kuwalazimisha kwa sheria au katiba unazotaka watu wafate.
Na hipo siku nchi itakuwa inatawalika na misimamo ya watu ndio wanataka tuelekee huko.
 
Muslims ni shit ndiyo wanao tumika
 
Acha wajidanganye wabadili. Siku tukiwanyoa bila maji tutarejesha kila kitu na kuwapeleka lupango. Huyu mwehu juu hovyo sina mfano. Kumbaff kabisa.
 
Wamejifunza kwa mtoto wa Rungu Zambia, aliporwa nyumba kibao za kitajiri ambazo zilikuwa za kifisadi, sasa hao wanaoturingishia mipesa na migari, watoto wa viongozi, unafikiri wataachwa siku uongozi mpya ukiingia aidha kwa wazazi wao kufa au kutochaguliwa? Unafikiri wanamlinda nani? kweli wanalinda wafanyabiashara?
Hawakumpora, bali walimnyang’anya utajiri alioupora kutoka Serikalini.
 
Sheria au katiba wakisha ichezea kuna siku hayo waliyochezea wananchi utaweza kuwalazimisha kwa sheria au katiba unazotaka watu wafate.
Na hipo siku nchi itakuwa inatawalika na misimamo ya watu ndio wanataka tuelekee huko.
wakiichezea, itawalinda wao hadi uje utunge sheria nyingine wao haitawahusu. unajua ukifanya kosa fulani wakati sheria haijatungwa au ilifutwa, hukamatiki. ndio mchezo wanaoufanya na wanawasogeza watanzania polepole kwenye kibra, na tangu lini rais akawa na mamlaka kufuta sheria? sheria inatungwa na bunge, halafu rais aifute? manake mwigulu kasema rais samia ameagiza sheria ifutwe.
 
Mwigulu alikuwa maskini hohehahe kaingia kwenye siasa kawa tajiri sana, kina makonda na mattako yake makubwa hata viatu alikuwa hana leo probably billionaire, na hawana biashara inayoeleweka, wezi watupu hawa
 
Back
Top Bottom