Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwahiyo na Matusi yao nayo ni sehemu ya CCM?Wasanii ni sehemu ya CCM 🐼
Hivi mada umeielewa?Mwaka huu mpaka ushikwe na ukichaa maana dkt Tulia anakupa kiwewe na kuweweseka sana .Tangia umeona namna anavyokubalika na kupendwa na wanambeya umekuwa ukihaha sana kutunga vi uzushi vyako. Mbeya inampenda dkt Tulia ni haijawahi kutokea katika Historia ya jiji la mbeya. Dkt Tulia amebebwa na wana Mbeya katika mioyo yao na kuungwa mkono sana kwa namna mtoto wao huyu wa nyumbani anavyowajali na kuwapenda.
Wana Mbeya wameona namna alivyowaletea maendeleo kila eneo.ni ushawishi wa dkt ulioleta mradi wa barabara za lami njia nne kutoka igawa mkoani Mbeya mpaka Tunduma mkoani Songwe km 237.9.
Ni dkt Tulia amejenga mabweni ya wanafunzi maeneo mbalimbali kama alivyofanya kwenye shule ya Samora.
Ni dkt Tulia amegawa mpaka sasa bima za afya bure karibu elfu kumi ,ambapo mwaka huu tu ametoa bima za afya elfu sita .na hata mwaka jana alitoa bure bima za afya zaidi ya elfu tatu.
Akiwa Spika wa Bunge amesaidiaje sera ya Elimu?Ni dkt Tulia amefanikiwa kugawa vitabu katika shule zote zilizopo ndani ya jiji la mbeya. Jambo ambalo halikuwahi kutokea kabla. Maana yeye sugu alishindwa kutoa msaada kitabu hata kimoja tu kwa mtoto yatima au hata kumsaidia walau kalamu ya kuandikia shuleni. Lakini leo hii dkt Tulia amesaidia makundi mbalimbali ndani ya jiji la mbeya na mkoa mzima wa Mbeya
Kwanza unaelewa hata maana ya sera ya elimu au unajiandikia tu kama mbumbumbuAkiwa Spika wa Bunge amesaidiaje sera ya Elimu?
Uzi mmoja Majibu 10 halafu yote siyo sahihi! Na bado!Ni dkt Tulia Acksoni Mwansasu amesaidia vikundi mbalimbali vya vijana na akina mama kujipatia mitaji ya kuendeshea shughuli zao mbalimbali za kujipatia kipato ,ambapo kupitia utaratibu huu vijana wengi sana wamejikwamua kiuchumi na kuondokana na utegemezi.
Wakati yeye sugu alikuwaga anafanya kazi ya kuwakimbia vijana na kwenda bungeni kulidhalilisha jimbo kwa kuonyesha kidole kinachoashilia matusi.na kufanya wanambeya wate kuonekana ni wahuni.
Chawa tafuta kaziDkt Tulia ana uwezo wa kuitisha mkutano hata kwa filimbi tu na watu wakamiminika na kufurika ndani ya muda mfupi kama wamevutwa kwa Sumaku
Najuwa mnaumia sana hasa baada ya wasanii wote kuwakataeni kuwaungeni mkono na kushiriki katika harakati zenu za kichovu na kibabaishaji.Kwahiyo na Matusi yao nayo ni sehemu ya CCM?
Wewe ndiye tafuta kazi kama huna.Chawa tafuta kazi
Naendelea kushusha tu nondo maana nikiweka kwa pamoja utachaganyikiwa na kupoteza ufahamu wako huo kisoda.Uzi mmoja Majibu 10 halafu yote siyo sahihi! Na bado!
Ni sehemu ya bavicha 🐼🔥Kwahiyo na Matusi yao nayo ni sehemu ya CCM?
chawa prooooNi dkt Tulia Acksoni Mwansasu amesaidia vikundi mbalimbali vya vijana na akina mama kujipatia mitaji ya kuendeshea shughuli zao mbalimbali za kujipatia kipato ,ambapo kupitia utaratibu huu vijana wengi sana wamejikwamua kiuchumi na kuondokana na utegemezi.
Wakati yeye sugu alikuwaga anafanya kazi ya kuwakimbia vijana na kwenda bungeni kulidhalilisha jimbo kwa kuonyesha kidole kinachoashilia matusi.na kufanya wanambeya wate kuonekana ni wahuni.
Bila hivyo utakula nini kaka?Naendelea kushusha tu nondo maana nikiweka kwa pamoja utachaganyikiwa na kupoteza ufahamu wako huo kisoda.
Akose watu Tulia, tuumie sisi kivipi?Najuwa mnaumia sana hasa baada ya wasanii wote kuwakataeni kuwaungeni mkono na kushiriki katika harakati zenu za kichovu na kibabaishaji.