Pre GE2025 Usilolifahamu ni hili: Bila wasanii Tulia Ackson hawezi kupata watu kwenye Mkutano wa Hadhara Mbeya

Pre GE2025 Usilolifahamu ni hili: Bila wasanii Tulia Ackson hawezi kupata watu kwenye Mkutano wa Hadhara Mbeya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni dkt Tulia Acksoni Mwansasu amesaidia vikundi mbalimbali vya vijana na akina mama kujipatia mitaji ya kuendeshea shughuli zao mbalimbali za kujipatia kipato ,ambapo kupitia utaratibu huu vijana wengi sana wamejikwamua kiuchumi na kuondokana na utegemezi.

Wakati yeye sugu alikuwaga anafanya kazi ya kuwakimbia vijana na kwenda bungeni kulidhalilisha jimbo kwa kuonyesha kidole kinachoashilia matusi.na kufanya wanambeya wate kuonekana ni wahuni.
Uko nje ya mada ungefungua uzi wako
 
Usiogope kukataliwa na Wananchi, ndio Demokrasia yenyewe
Huwezi kujenga zahanati na kuleta madawa halafu wananchi wakakukataa, anakataliwa na nyinyi wanyakyusa wachache mliomo humu JF huko kwa wananchi wengi wa kawaida wanaojielewa hawezi kukataliwa.
 
Back
Top Bottom