Pre GE2025 Usilolifahamu ni hili: Bila wasanii Tulia Ackson hawezi kupata watu kwenye Mkutano wa Hadhara Mbeya

Pre GE2025 Usilolifahamu ni hili: Bila wasanii Tulia Ackson hawezi kupata watu kwenye Mkutano wa Hadhara Mbeya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwaka huu mpaka ushikwe na ukichaa maana dkt Tulia anakupa kiwewe na kuweweseka sana .Tangia umeona namna anavyokubalika na kupendwa na wanambeya umekuwa ukihaha sana kutunga vi uzushi vyako. Mbeya inampenda dkt Tulia ni haijawahi kutokea katika Historia ya jiji la mbeya. Dkt Tulia amebebwa na wana Mbeya katika mioyo yao na kuungwa mkono sana kwa namna mtoto wao huyu wa nyumbani anavyowajali na kuwapenda.

Wana Mbeya wameona namna alivyowaletea maendeleo kila eneo.ni ushawishi wa dkt ulioleta mradi wa barabara za lami njia nne kutoka igawa mkoani Mbeya mpaka Tunduma mkoani Songwe km 237.9.

Ni dkt Tulia amejenga mabweni ya wanafunzi maeneo mbalimbali kama alivyofanya kwenye shule ya Samora.

Ni dkt Tulia amegawa mpaka sasa bima za afya bure karibu elfu kumi ,ambapo mwaka huu tu ametoa bima za afya elfu sita .na hata mwaka jana alitoa bure bima za afya zaidi ya elfu tatu.

Hii ndio sababu hata akiitisha mkutano kwa kupiga tu filimbi watu watamiminika na kufurika utafikiri wamevutwa kwa kamba au sumaku. Hii ndio sababu wana Mbeya hawataki kabisa kusikia jina wala kuiona sura ya Sugu aliyeendesha jimbo utafikiri ana matatizo ya ufikiri.
Utetezi wako huwa unamwaribia muhusika badala ya kumjenga, maana huwa unaandika vitu vya ajabu mpaka muhusika anaona aibu. Kumbuka ulivyomtia aibu 2mbili humu mpaka akasema uache kumpamba maana ni aibu.
 
Zamani kidogo nilidhani unapokuwa na Cheo kikubwa basi waweza kushawishi watu wengi wakupende, na hasa watu wa Kwenu, kumbe sikuwa sahihi.

Wakati mwingine huwa najiuliza huyu Tulia Ackson alichaguliwa na nani kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini? Inashangaza sana! huyu Mama hana Ushawishi kabisa, Hana Uwezo wa kuitisha Mkutano wa hadhara hata Soko Matola tu, achilia mbali Uyole.

Halafu ni kama Mbeya yenyewe haijui, Sijui kakulia wapi, Kwa Mbeya ni afadhali hata uweke Tamasha la Kwaya kuliko hawa Wahuni wanaotukana na Kufungiwa na BASATA kila uchao, Wazee wa Mbeya waliojaa Heshima na Busara hawawezi kuja kwenye Matamasha ya Matusi.

View attachment 2986782
Vijana ni wengi kuliko hao kina Mwa wanaoingia katika kundi la wastaafu. Umeshajiuliza ni kwanini Diamond alipiga sana pesa wakati wa kampeni ya 2020?.

Nyimbo zake zilipewa sehemu kwa ajili ya Gen Z wanaokuwepo katika mikutano.
 
Akiwa Spika wa Bunge amesaidiaje sera ya Elimu?
Dr Tulia anafanya mengi sana yenye kugusa maisha ya watu, hizi kampeni zako nyepesi za humu JF hazina mashiko kulinganisha na uhusika wa moja kwa moja wa spika kwenye miradi mbalimbali ya wananchi.
 
Zamani kidogo nilidhani unapokuwa na Cheo kikubwa basi waweza kushawishi watu wengi wakupende, na hasa watu wa Kwenu, kumbe sikuwa sahihi.

Wakati mwingine huwa najiuliza huyu Tulia Ackson alichaguliwa na nani kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini? Inashangaza sana! huyu Mama hana Ushawishi kabisa, Hana Uwezo wa kuitisha Mkutano wa hadhara hata Soko Matola tu, achilia mbali Uyole.

Halafu ni kama Mbeya yenyewe haijui, Sijui kakulia wapi, Kwa Mbeya ni afadhali hata uweke Tamasha la Kwaya kuliko hawa Wahuni wanaotukana na Kufungiwa na BASATA kila uchao, Wazee wa Mbeya waliojaa Heshima na Busara hawawezi kuja kwenye Matamasha ya Matusi.

View attachment 2986782
Siku hizi marathon na jogging zote ni za viongozi wa ccm ft wasanii
 
Dr Tulia anafanya mengi sana yenye kugusa maisha ya watu, hizi kampeni zako nyepesi za humu JF hazina mashiko kulinganisha na uhusika wa moja kwa moja wa spika kwenye miradi mbalimbali ya wananchi.
Weka alichokifanya ili uniumbue, mmelekezwa na Mama mjibu hoja zetu, ila mjibu kwa kuweka vielelezo
 
Weka alichokifanya ili uniumbue, mmelekezwa na Mama mjibu hoja zetu, ila mjibu kwa kuweka vielelezo
Nenda huko Mbeya ukaone kuliko kudai kuelezwa kilichofanyika wakati ushahidi ni mwingi, na unapoletwa huwa mnakuja na mada nyingine, mnahamisha magoli.
 
Nzowe standup... Mbeya iko kama dzonga hakuna kuremba nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi
 
Back
Top Bottom