Pre GE2025 Usilolifahamu ni hili: Bila wasanii Tulia Ackson hawezi kupata watu kwenye Mkutano wa Hadhara Mbeya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Utetezi wako huwa unamwaribia muhusika badala ya kumjenga, maana huwa unaandika vitu vya ajabu mpaka muhusika anaona aibu. Kumbuka ulivyomtia aibu 2mbili humu mpaka akasema uache kumpamba maana ni aibu.
 
Vijana ni wengi kuliko hao kina Mwa wanaoingia katika kundi la wastaafu. Umeshajiuliza ni kwanini Diamond alipiga sana pesa wakati wa kampeni ya 2020?.

Nyimbo zake zilipewa sehemu kwa ajili ya Gen Z wanaokuwepo katika mikutano.
 
Akiwa Spika wa Bunge amesaidiaje sera ya Elimu?
Dr Tulia anafanya mengi sana yenye kugusa maisha ya watu, hizi kampeni zako nyepesi za humu JF hazina mashiko kulinganisha na uhusika wa moja kwa moja wa spika kwenye miradi mbalimbali ya wananchi.
 
Siku hizi marathon na jogging zote ni za viongozi wa ccm ft wasanii
 
Dr Tulia anafanya mengi sana yenye kugusa maisha ya watu, hizi kampeni zako nyepesi za humu JF hazina mashiko kulinganisha na uhusika wa moja kwa moja wa spika kwenye miradi mbalimbali ya wananchi.
Weka alichokifanya ili uniumbue, mmelekezwa na Mama mjibu hoja zetu, ila mjibu kwa kuweka vielelezo
 
Weka alichokifanya ili uniumbue, mmelekezwa na Mama mjibu hoja zetu, ila mjibu kwa kuweka vielelezo
Nenda huko Mbeya ukaone kuliko kudai kuelezwa kilichofanyika wakati ushahidi ni mwingi, na unapoletwa huwa mnakuja na mada nyingine, mnahamisha magoli.
 
Nzowe standup... Mbeya iko kama dzonga hakuna kuremba nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…