Usilolijua juu ya bomu ya Hiroshima inatisha

Aisee..hizo silaha za maangamizi bora zibaki kwa hao US na Russia tu..maana zikiangukia kwa wataliban, ISIS na watu kama hao....
Sasa hivi kuna mabomu yenye nguvu mara mia moja ya hayo ya Japani..hatari sana
 
 
Takwimu zako ninawasiwasi nazo! Kutoka dsm hadi kgm ni takribani km1250, wewe unasema km900.
 
Mjapan akimkuta mmarekani kichochoroni anatoka na mbupu
 
naomba kuliza kati ya bomu la nuclear na atomic bomu lipi linanguvu lenye nazala makubwa zaidi
 
nzuri ila iyo kitu inamengi sn jitahidi kuchimba utuletee utamu zaidi. 'keep it up'
 
ni bomu ya Hiroshima ama Bomu la Atomic

maana nijuavyo mimi HIROSHIMA NA NAGASAKI NI MIJI ILIYOPO JAPAN
Nandio wahanga wahilo tukio la kuteketezwa na BOMU LA ATOMIC.
sasa wewe wasema bomu ya Hiroshima..kwa hiyo Hiroshima limeshakuwa bomu mkuu. ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…