Usilolijua juu ya bomu ya Hiroshima inatisha

Usilolijua juu ya bomu ya Hiroshima inatisha

Aisee..hizo silaha za maangamizi bora zibaki kwa hao US na Russia tu..maana zikiangukia kwa wataliban, ISIS na watu kama hao....
Sasa hivi kuna mabomu yenye nguvu mara mia moja ya hayo ya Japani..hatari sana
 
Ongezea hii: watu waliokuwa kwny blast radius waliyeyuka na wale waliokuwa umbali mdogo kitoka bomu lilipolipuka walikufa wamesimama..yan kama walikaushwa hivi(google picha utaziona)..kimsingi BOMU LA NUCLEAR si la kuchezewa hata kidogo..madhara yake ni makubwa mno!
3132ed215cb01852aeee15a69d9d34d0.jpg
 
Takwimu zako ninawasiwasi nazo! Kutoka dsm hadi kgm ni takribani km1250, wewe unasema km900.
 
Natumaiii m wazima wote humu
Leo tulichungize kidogo Bomu ya Hiroshima
Bomu lilolipua miji Japan hadi leo limeleta athari

Baada ya kulipuka cheche za bomu zilisambaa zaidi km 900 yaani kama lilipuke dar es salaam basi mtu wa pale kigoma ujiji angeona cheche za bomu vizuri sana

Moshi wa bomu yaani wingu lilisambaa umbali wa km 200 yaani kama lilipuke jijini Moshi basi moshi wake hadi Arusha

Moshi ulipanda hewani zaidi ya m 12,000 hatari saana
Yaani mlima Everest wenye m 8848 umrefu kuliko yote hapa duniani uliachwa chini m 3000 zaidi
Kilimanjaro yetu 5895 iliachwa chini m 6000 zaidi

Matikisiko
Mtikisiko ulisambaa kufikia km za mraba 150 zaidi

Ni baadhi ya undani nilioudodosa mitandao mbalimbali
Asante
nzuri ila iyo kitu inamengi sn jitahidi kuchimba utuletee utamu zaidi. 'keep it up'
 
ni bomu ya Hiroshima ama Bomu la Atomic

maana nijuavyo mimi HIROSHIMA NA NAGASAKI NI MIJI ILIYOPO JAPAN
Nandio wahanga wahilo tukio la kuteketezwa na BOMU LA ATOMIC.
sasa wewe wasema bomu ya Hiroshima..kwa hiyo Hiroshima limeshakuwa bomu mkuu. ??
 
Back
Top Bottom