Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo mkuu likilipua dar basi dar nzima inafunikwa kwa maji(inayeyuka)Kama Nuclear ya miaka hiyo iko hivyo, je Hydrogen ambalo inasemekana ni zaidi likoje?
Yani hilo bomu ni nyoko.Wale waliosalia lakini walivuta hewa waliendelea kuzaa watoto wenye hitilafu
Picha ambozo zinaonekana humu wenda usilale usiku
Duh!Yani hilo bomu ni nyoko.
Picha ambozo zinaonekana humu wenda usilale usiku
Ongezea hii: watu waliokuwa kwny blast radius waliyeyuka na wale waliokuwa umbali mdogo kitoka bomu lilipolipuka walikufa wamesimama..yan kama walikaushwa hivi(google picha utaziona)..kimsingi BOMU LA NUCLEAR si la kuchezewa hata kidogo..madhara yake ni makubwa mno!
Huo ni mwaka 1945 ambapo bongo kulikuwa hakuna hata tv, je leo 2018 kuna bomu la aina gani? Kiduku aache madharau akawaulize japan wana experience sana.
hizi picha alipiga nani?..radiation ilikuwaje kwake
nzuri ila iyo kitu inamengi sn jitahidi kuchimba utuletee utamu zaidi. 'keep it up'Natumaiii m wazima wote humu
Leo tulichungize kidogo Bomu ya Hiroshima
Bomu lilolipua miji Japan hadi leo limeleta athari
Baada ya kulipuka cheche za bomu zilisambaa zaidi km 900 yaani kama lilipuke dar es salaam basi mtu wa pale kigoma ujiji angeona cheche za bomu vizuri sana
Moshi wa bomu yaani wingu lilisambaa umbali wa km 200 yaani kama lilipuke jijini Moshi basi moshi wake hadi Arusha
Moshi ulipanda hewani zaidi ya m 12,000 hatari saana
Yaani mlima Everest wenye m 8848 umrefu kuliko yote hapa duniani uliachwa chini m 3000 zaidi
Kilimanjaro yetu 5895 iliachwa chini m 6000 zaidi
Matikisiko
Mtikisiko ulisambaa kufikia km za mraba 150 zaidi
Ni baadhi ya undani nilioudodosa mitandao mbalimbali
Asante
Hii ni baada yahizi picha alipiga nani?..radiation ilikuwaje kwake