Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,919
- 3,472
Uongo mkubwa kuwahi tokea chini ya jua.Kifupi tu KOROMIJE..ni. Jina la hiki kijiji, jina hili limetokana na wasukuma kushindwa kutamka jina la mzungu mmoja ambaje alikuwa anaitwa JONATHAN mzungu huyo Alikuwa na kisima cha maji pale kijijini ambapo wananchi wengi walitumia kisima hicho kwa ajiri ya kuteka maji.. Wakijilawa(waliamka) asubuhi na mapema na mara nyingi walikuwa wanamkuta kalala... kasheshe ilikuwa kwenye kuamuamsha ili aje awafungulie wakawa wanalitamka vibaya kwa bahati mbaya mzungu alikuwa hajui kisukuma vizuri... mwisho wa siku ili jina lisiendelee kuharibiwa basi akawaambia kwa kiingreza kuwa "Call me J" yaani "muwe mnaniita J" sasa kwakuwa alitamka na hakuliandika kiasi kwamba watu wajue aliaanisha nini wao wakachukua kama ilivyotamkwa na wakaita KOLOMIJE ikawa ndo jina la kijijihiki kizungu tukiache tu maana kilikuja kwa ndege
Twambie wewe unaejua mkuuUongo mkubwa kuwahi tokea chini ya jua.
haswaaa!Hiki kijiji cha kolomije sijui koromije nmekijua sabbu ya Daud bashite
Wenyeji wanasema hivyo mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..
Wabongo wape picha wakupe maneno.
Wape Jina wakuambie maana/chimbuko lake.
Uongo mkubwa kuwahi tokea chini ya jua.
Napajua A to Z acha kudanganya watu ,me nipo chimbo ntard na full story ya mtuhumiwani kweli tupu,hiyo ndo maana yake mtu yoyote anakijua hiko kijiji atakwambia hivyo
UbashiteUongo mkubwa kuwahi tokea chini ya jua.
Kifupi tu KOROMIJE..ni. Jina la hiki kijiji, jina hili limetokana na wasukuma kushindwa kutamka jina la mzungu mmoja ambaje alikuwa anaitwa JONATHAN mzungu huyo Alikuwa na kisima cha maji pale kijijini ambapo wananchi wengi walitumia kisima hicho kwa ajiri ya kuteka maji.. Wakijilawa(waliamka) asubuhi na mapema na mara nyingi walikuwa wanamkuta kalala... kasheshe ilikuwa kwenye kuamuamsha ili aje awafungulie wakawa wanalitamka vibaya kwa bahati mbaya mzungu alikuwa hajui kisukuma vizuri... mwisho wa siku ili jina lisiendelee kuharibiwa basi akawaambia kwa kiingreza kuwa "Call me J" yaani "muwe mnaniita J" sasa kwakuwa alitamka na hakuliandika kiasi kwamba watu wajue aliaanisha nini wao wakachukua kama ilivyotamkwa na wakaita KOLOMIJE ikawa ndo jina la kijijihiki kizungu tukiache tu maana kilikuja kwa ndege