Usilolijua ni kama usiku wa Giza, mdau huyu kapotoka tumsamehe

Kuna Uzi umepandishwa na mdau wa kuitwa Sexless wenye kichwa kinachosomeka Watanzania wanafiki sana. Tazama sasa wamewatelekeza Mwabukusi na Dkt. Slaa. Kinachonisikitisha juu ya mdau huyu na Uzi wake ni kuwalaumu watanzania na kwa kupima uzito wa lawama zake anawalalamikia watanzania wote kwa unafiki.

Kwanza, Mimi kama mtanzania ambaye nmejumuishwa kwenye kundi la wanafiki kwa kuwatelekeza Dkt Slaa na wakili mwabukusi wakati sikuwahi kuafiki walichokipigania tangu mwanzo, nimesikitishwa sana.

Pili, asilimia Zaidi ya 85 ya watanzania wanakubaliana na uwekezaji na hata uamuzi wa mahakama kuu kanda ya Mbeya umethibisha hilo. Hao watanzania wengi waliopiganiwa na Dkt.Slaa ni wakina nani kama Zaidi ya 85 iliwakataa?

Tatu, kusema kauli hiyo mleta Uzi ni kutaka kututhibitishia Kila mtanzania ni CHADEMA maana kimantiki hao wote ni wanaCHADEMA.

Nne, mleta Uzi kutaka watanzania wawapiganie hao watu ni kusema ni kweli watanzania wamekubali wameuzwa wakati ukweli hauko hivyo.

Kwa hoja hizo nne, nachukua nafasi hii kumwombea msamaha ndugu yetu sexless maana hajui akisemacho. Tumsamehe tu maana tumefahamu uhalisia wa mjadala huu, amani ni msingi wa maendeleo.
Nonsense hiyo asilimia 85 umepata wapi.
 
Try to read to understood, tatizo la shule za kanumba, aliyezianzisha hata kitukuu chake hakijasoma huko
Ndio maana nimekuambia kunywa maji kwanza 'try to read to understood' ndio kitu Gani sasa ?
 
Nonsense hiyo asilimia 85 umepata wapi.
Hiyo ni asilimia ya ushindi wa Magufuli ambayo kimsingi ni ushindi wa Rais Samia. Support ya Rais Samia ndio hiyo 85% na ndio watamsapoti hata wakiwekewa panga shingoni.
 
Kuna Uzi umepandishwa na mdau wa kuitwa Sexless wenye kichwa kinachosomeka Watanzania wanafiki sana. Tazama sasa wamewatelekeza Mwabukusi na Dkt. Slaa. Kinachonisikitisha juu ya mdau huyu na Uzi wake ni kuwalaumu watanzania na kwa kupima uzito wa lawama zake anawalalamikia watanzania wote kwa unafiki.

Kwanza, Mimi kama mtanzania ambaye nmejumuishwa kwenye kundi la wanafiki kwa kuwatelekeza Dkt Slaa na wakili mwabukusi wakati sikuwahi kuafiki walichokipigania tangu mwanzo, nimesikitishwa sana.

Pili, asilimia Zaidi ya 85 ya watanzania wanakubaliana na uwekezaji na hata uamuzi wa mahakama kuu kanda ya Mbeya umethibisha hilo. Hao watanzania wengi waliopiganiwa na Dkt.Slaa ni wakina nani kama Zaidi ya 85 iliwakataa?

Tatu, kusema kauli hiyo mleta Uzi ni kutaka kututhibitishia Kila mtanzania ni CHADEMA maana kimantiki hao wote ni wanaCHADEMA.

Nne, mleta Uzi kutaka watanzania wawapiganie hao watu ni kusema ni kweli watanzania wamekubali wameuzwa wakati ukweli hauko hivyo.

Kwa hoja hizo nne, nachukua nafasi hii kumwombea msamaha ndugu yetu sexless maana hajui akisemacho. Tumsamehe tu maana tumefahamu uhalisia wa mjadala huu, amani ni msingi wa maendeleo.
kwamba asilimia 85 ya kukubali uwekezaji wa dpwoeld mliipata kwenye makorido ya lumumba, ni mpumbavu pekee anaweza kukubaliana na ujinga wa mjinga na makuwadi ya warabu koko dpworld.
 
Petro na Peter ama Abdalah na dullah, yale yale tu. 🚮🚮
 
Kuna Uzi umepandishwa na mdau wa kuitwa Sexless wenye kichwa kinachosomeka Watanzania wanafiki sana. Tazama sasa wamewatelekeza Mwabukusi na Dkt. Slaa. Kinachonisikitisha juu ya mdau huyu na Uzi wake ni kuwalaumu watanzania na kwa kupima uzito wa lawama zake anawalalamikia watanzania wote kwa unafiki.

Kwanza, Mimi kama mtanzania ambaye nmejumuishwa kwenye kundi la wanafiki kwa kuwatelekeza Dkt Slaa na wakili mwabukusi wakati sikuwahi kuafiki walichokipigania tangu mwanzo, nimesikitishwa sana.

Pili, asilimia Zaidi ya 85 ya watanzania wanakubaliana na uwekezaji na hata uamuzi wa mahakama kuu kanda ya Mbeya umethibisha hilo. Hao watanzania wengi waliopiganiwa na Dkt.Slaa ni wakina nani kama Zaidi ya 85 iliwakataa?

Tatu, kusema kauli hiyo mleta Uzi ni kutaka kututhibitishia Kila mtanzania ni CHADEMA maana kimantiki hao wote ni wanaCHADEMA.

Nne, mleta Uzi kutaka watanzania wawapiganie hao watu ni kusema ni kweli watanzania wamekubali wameuzwa wakati ukweli hauko hivyo.

Kwa hoja hizo nne, nachukua nafasi hii kumwombea msamaha ndugu yetu sexless maana hajui akisemacho. Tumsamehe tu maana tumefahamu uhalisia wa mjadala huu, amani ni msingi wa maendeleo.
ila binafsi sipendagi kutukuna. namshukuru MUNGU amenisaidia sana.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Back
Top Bottom