Usilolijua ni kwamba Aron Kagurumujuli amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kinondoni

..mkurugenzi alikuwa analalamikiwa na hao unaodai walifanya " unlawful assembly. "

..mkurugenzi angefanya kazi yake kwa kufuata sheria na taratibu kusingekuwa na maandamano, polisi wasingefyatua risasi hovyo, na Akwilina asingeuwawa.
Mkurugenzi aliamrisha polisi kufyatua risasi? Ana hayo mamlaka?
 
..Ccm mnaharibu nchi.

..mmejaza watu wa hovyo kama Karugumjuli kila mahali ikiwemo polisi, tiss, mahakamani etc

..hii nchi ni yetu sote.
Nyinyi nyumbu mnapenda kusema "serikali ya CCM" hamtofautishi baina ya serikali na chama. Sasa wao CCM wakichanganya mnalia lia.
Mnafikiri watamzuia asigombee kwa vile nyinyi mmesema?
 
Huyu jamaa alipokuwa mkurugenzi ndio alifyatua bunduki?
Uwajibikaji zuzu wewe, someone lost her life ,its not a joking matter, mazuzu wa working class wa nchi hii mnashangaza mno yaani hamshituki au kuguswa kuwa uhai wa binadamu mwenzetu ulikatishwa, huyu jamaa ndiye aliyekuwa responsible guy na hakuna kilichofanyika,je unafikiria familia ya Akwilina (rip)wamepata closure ya mpendwa wao?,kuna mazuzu makatili mpaka najiuliza kama mtoa hoja hii unaingia kwenye nyumba za ibada
 
Huu ni ulemavu wa akili, kuhusisha maandamano yenu na uchaguzi wa ccm. Weee pambalu ebu acha kuweweseka na ccm kila kukicha.
 
Ipo siku inakuja. Sisi CCM tutakuja kulipa haya madhila tunayoyaratibu na hii inaweza kutukuta sisi wengine tupo hai au tumekufa. Lakini malipo yaja.

Nimewaza sana wale waliopoteza uhai wao kwa amri za watawala ndani ya CCM na serikalini. Imewezekanaje kwamba maadui wa Taifa ni wananchi wa kawaida?

Taifa linahitaji maombi maana wenye mikono iliyojaa damu ndiyo wanaozidi kupewa nafasi kwenye vyombo vya maamuzi.

Nina kadi hai ya CCM
 
Nyinyi nyumbu mnapenda kusema "serikali ya CCM" hamtofautishi baina ya serikali na chama. Sasa wao CCM wakichanganya mnalia lia.
Mnafikiri watamzuia asigombee kwa vile nyinyi mmesema?

..watendaji wanapolinda maslahi ya Ccm badala ya maslahi ya nchi husababisha wananchi waone serikali hiyo sio ya wote bali ya wanaCcm.
 
Jinyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…