The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Asante ngoja tumchangie mpambanaji wetu
Fabyeni hivyo makamanda sh 500 si chochoteNgoja nifanye hivyo tena
Sorry, M-PESA cannot authorize this transaction since this transaction will exceed recipient's balance limit.GT
Utambulisho wa Muamala: 403*288*. Umetuma TSH 500.00 kwenda M-PESA, jina ALUTE SIMON MUGHWAI namba 255797527876, gharama TSH 10.00, wakati 2025/12/31 17:41:22. Salio lako jipya ni TSH 8*** Ahsante!.
View attachment 3523224
Tunahitaji watanzanoa 600K watakaochangia sh 500 tu kufikia 30M.
Karibuni sana makamanda
Pilipili ya shamba ...Wapiga dili wa chadema tayari washamfanya lissu mtaji, zitakusanywa milioni mia halafu zitatangazwa milioni 30 tu!!
Kuna bank account ya NMB.Sorry, M-PESA cannot authorize this transaction since this transaction will exceed recipient's balance limit.
Huyo mzee anayepokea mpesa aambiwe huu ndio ujumbe tunapata.
Nimeona hiyo ya NBC. 50,000 inamuhusu huyo mwamba.Kuna bank account ya NMB.
Nafikiri hiyo itapokea mzigo mwingi.
Mbona mimi nimetoka kutuma kwa wakala sio mudaSorry, M-PESA cannot authorize this transaction since this transaction will exceed recipient's balance limit.
Huyo mzee anayepokea mpesa aambiwe huu ndio ujumbe tunapata.
Mimi nimetuma kwangu imegoma. Nimeona hiyo bank account ngoja nimalize muda huu huu.Mbona mimi nimetoka kutuma kwa wakala sio muda
GT