Namba ya mpesa imefika maximum limit, haiwezi tena kupokea hela. Nimejaribu kutuma sasa hivi imekataa kupokeaGT
Utambulisho wa Muamala: 403*288*. Umetuma TSH 500.00 kwenda M-PESA, jina ALUTE SIMON MUGHWAI namba 255797527876, gharama TSH 10.00, wakati 2025/12/31 17:41:22. Salio lako jipya ni TSH 8*** Ahsante!.
View attachment 3523224
Tunahitaji watanzanoa 600K watakaochangia sh 500 tu kufikia 30M.
Karibuni sana makamanda
Wewe muuaji toka hapaChangieni watoto maskini ada za shule januari inafika acheni unafki
Kwanza huyo Saimon Alute ndio nani?Namba za wachangiaji zilindwe faragha zao
Weww uchangie una hela wewe?Nimejaribu kuchangia imeshindikana imeniletea huu ujumbe
View attachment 3523262
Namchangia sasa hivi..GT
Utambulisho wa Muamala: 403*288*. Umetuma TSH 500.00 kwenda M-PESA, jina ALUTE SIMON MUGHWAI namba 255797527876, gharama TSH 10.00, wakati 2025/12/31 17:41:22. Salio lako jipya ni TSH 8*** Ahsante!.
View attachment 3523224
Tunahitaji watanzanoa 600K watakaochangia sh 500 tu kufikia 30M.
Karibuni sana makamanda
Elimu ipi ?Changieni watoto maskini ada za shule januari inafika acheni unafki
Elimu ipi ?Changieni watoto maskini ada za shule januari inafika acheni unafki
Uolewe bi mdogo ili uzifaidi naweweWapiga dili wa chadema tayari washamfanya lissu mtaji, zitakusanywa milioni mia halafu zitatangazwa milioni 30 tu!!
Kuna daftari linauzwa 10000, acha upuuzi wa kikamanda toeni kwa wahitaji sio huyo tajiriElimu ipi ?
Inayoleta umaskini au ?
Hii ya ccm ukimaliza chuo kikuu unaenda Tena veta ?
Ndo maana mnatoa Bure Kwa maskini wazidi kuwa wajinga sio
Si unaona ilivyokufanya mjinga ,500 inatosha kununua hata daftari la shule ?
Miaka 64 ya uhuru mnaleta unafiki wa watoto maskiniChangieni watoto maskini ada za shule januari inafika acheni unafki
Kuna daftari linauzwa 10000, acha upuuzi wa kikamanda toeni kwa wahitaji sio huyo tajiri
Serikali haiondoi umaskini wa mtu bali ina facilitate njia bora halafu juhudi zako ndo zikukomboe kwenye umaskiniMiaka 64 imeshindwaje kuondoa hao maskini
Huyo lisu amesoma elimu hiyohiyo unayoita ya kimaskiniWatu wanaojitambua hawategemei Tena hiyo Elimu ya Ccm inafanya watu maskini miaka 64
Zipo za kutosha dadaWeww uchangie una hela wewe?
Huwezi kutegemea Elimu ya Ccm uwe kama LisuHuyo lisu amesoma elimu hiyohiyo unayoita ya kimaskini
Nikuulize hao majirani zako ambao wengine hawana daftari wanalingana na familia ya lisu wanaokula milo mitatu kwa siku na watoto wao wapo shule za private..?