Usimalize Mwaka 2025 Bila Kumchangia Lissu hii ni baraka yako ya mwisho kwa mwaka huu

Changieni watoto maskini ada za shule januari inafika acheni unafki
 
Namba ya mpesa imefika maximum limit, haiwezi tena kupokea hela. Nimejaribu kutuma sasa hivi imekataa kupokea
 
Changieni watoto maskini ada za shule januari inafika acheni unafki
Elimu ipi ?
Hii ya ccm ukimaliza chuo kikuu unaenda Tena veta ?
Ndo maana mnatoa Bure Kwa maskini wazidi kuwa wajinga sio

Si unaona ilivyokufanya mjinga ,500 inatosha kununua hata daftari la shule ?
 
Inayoleta umaskini au ?

TZS 30,000.00 Debited from ac XX0009727 REF:Asssskizimkazi REF:06$$$&&1713374@@@-TIPS IFO ALUTE SIMON on 31-DEC-25. Keep your Password & PIN confidential.
 
Changieni watoto maskini ada za shule januari inafika acheni unafki
Elimu ipi ?
Inayoleta umaskini au ?

Hii ya ccm ukimaliza chuo kikuu unaenda Tena veta ?

Ndo maana mnatoa Bure Kwa maskini wazidi kuwa wajinga sio

Si unaona ilivyokufanya mjinga ,500 inatosha kununua hata daftari la shule ?
Kuna daftari linauzwa 10000, acha upuuzi wa kikamanda toeni kwa wahitaji sio huyo tajiri
 
Changieni watoto maskini ada za shule januari inafika acheni unafki

Kuna daftari linauzwa 10000, acha upuuzi wa kikamanda toeni kwa wahitaji sio huyo tajiri
Miaka 64 ya uhuru mnaleta unafiki wa watoto maskini

Miaka 64 imeshindwaje kuondoa hao maskini

Watu wanaojitambua hawategemei Tena hiyo Elimu ya Ccm inafanya watu maskini miaka 64

Huo unafiki peleka magroup ya uvccm
 
Watu wanaojitambua hawategemei Tena hiyo Elimu ya Ccm inafanya watu maskini miaka 64
Huyo lisu amesoma elimu hiyohiyo unayoita ya kimaskini

Nikuulize hao majirani zako ambao wengine hawana daftari wanalingana na familia ya lisu wanaokula milo mitatu kwa siku na watoto wao wapo shule za private..?
 
Mimi nimemchangia ya kuku kabisa.. acha tumchangie mtanganyika mwenzetu mwenye uchungu nasi..!!
 
Huyo lisu amesoma elimu hiyohiyo unayoita ya kimaskini

Nikuulize hao majirani zako ambao wengine hawana daftari wanalingana na familia ya lisu wanaokula milo mitatu kwa siku na watoto wao wapo shule za private..?
Huwezi kutegemea Elimu ya Ccm uwe kama Lisu
Wenye akili wanajiongeza ndo wanakuwa tofauti kama Lisu
Fuatilia mawakili na majaji waliosoma Sheria kuliko lisu wanavyoburuzwa na mtu mmoja TU mahakama nzima

Uzuri mkoa ninaokaa walikataa kutegemea Elimu ya Ccm mapema wanajiongeza wenyewe

Huwezi kukuta mtu anaomba ela ya madftari ya shule

Huo upumbavu uko Kwa machawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…