Usimchukie mwanamke anayekukataa

Usimchukie mwanamke anayekukataa

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kuna wanawake wanakataa kwasabb mbingu zinafahamu umri wa huyo ni mfupi. Hivyo zinampa muongozo akukatae. Ungemuoa soon ungebaki mgane.

Kuna mwanamke anakukataa kwasabb mbingu zinajua wewe ni mwema, mnyenyekevu na mwaminifu wakati huyo mke ni kicheche, purukushani nguo kuchanika. Ukimuoa utakufa mapema.

Ndiyo maana tunaambiwa na maandiko kuwa "shukuruni kwa kila jambo"
 
Kabisa kaka hilo ni swaa muhimu..kuna demu nilimtongoza mwaka mmoja uliopita alinikataa cha kushanganza sasa hv yupo kwenye matatizo eti ananitaka tena ..

Nikataka nichakate mbususu yake lkn nkaona ntazoa nuksi na mikosi bure..Japo kuwa mbususu ni nyeupe sana ..ila khaaa..hapana unaweza chakata mbususu zenye mikosi ukajikuta mambo yote yamesimama [emoji28][emoji28]

Mimi nimejitoa gapo
 
Aisee Bora ulivokimbia, wale ni mtego. Ni hatari sana kwa mwanaume kumkubali msichana aliyemkataa mwanzoni, akipata mwingine mwenye characteristics kama za aliyeachana naye atakuacha tena.
Masculinity principle.
 
Lakini naye akukatae kistaarabu sio kwa dharau. Mimi namheshimu sana mwanamke anayenikataa kwa kuniambia LIVE siko moyoni mwake na uwezekano haupo au akaniambia kabisa ana mpenzi/mchumba. Bahati nzuri karibu wote walionikataa kihuni wamekuwa single mazas na wengine ndoa wameshindwa. Sasa hivi wananitaka mimi siwataki.
 
Je, na sisi wanaume tu watu wema kiasi gani? Waadilifu kiasi gani? Waaminifu kiasi gani? Wasafi kiasi gani? Tuna upendo kiasi gani?

Tunawasakama sana wanawake, even for no reason tunawaanzishia thread za kuwaumiza moyo.

Wakati mwingine wanawake hutukataa kutokana na wingi wa makandokando yetu.

Upendo husitiri wingi wa dhambi. Mpende jirani yako kama nafsi yako.
 
Kuna wanawake wanakataa kwasabb mbingu zinafahamu umri wa huyo ni mfupi. Hivyo zinampa muongozo akukatae. Ungwmuoa soon ungebaki mgane.

Kuna mwanamke anakukataa kwasabb mbingu zinajua wewe ni mwema, mnyenyekevu na mwaminifu wakati huyo mke ni kicheche, pukushani nguo kuchanika. Ukimuoa utakufa mapema.

Ndiyo maana tunaambiwa na maandiko kuwa "shukurani kwa kila jambo"
Kabla ya yote umeshapata Bwana wa kununulia gari? Usiwe unatupa ushauri wakati yako yanakushinda.
 
Kuna wanawake wanakataa kwasabb mbingu zinafahamu umri wa huyo ni mfupi. Hivyo zinampa muongozo akukatae. Ungwmuoa soon ungebaki mgane.

Kuna mwanamke anakukataa kwasabb mbingu zinajua wewe ni mwema, mnyenyekevu na mwaminifu wakati huyo mke ni kicheche, pukushani nguo kuchanika. Ukimuoa utakufa mapema.

Ndiyo maana tunaambiwa na maandiko kuwa "shukurani kwa kila jambo"

Mwanamke kukataa si dhambi ila na yeye ni bibadamu na ana machaguo yake. Mwanaume mjanja ni yule anaekubali matokeo na ku walk out bila kinyongo. Si lazima ukubalike na kila mtu
 
Kabisa kaka hilo ni swaa muhimu..kuna demu nilimtongoza mwaka mmoja uliopita alinikataa cha kushanganza sasa hv yupo kwenye matatizo eti ananitaka tena ..

Nikataka nichakate mbususu yake lkn nkaona ntazoa nuksi na mikosi bure..Japo kuwa mbususu ni nyeupe sana ..ila khaaa..hapana unaweza chakata mbususu zenye mikosi ukajikuta mambo yote yamesimama [emoji28][emoji28]

Mimi nimejitoa gapo

Ww sio emotional tampon. Ukiona hivyo ujue huko alipokuwa pameharibika. Anatafuta mahali pa kumpumzika akishakaa sawa asepe.
 
Kuna wanawake wanakataa kwasabb mbingu zinafahamu umri wa huyo ni mfupi. Hivyo zinampa muongozo akukatae. Ungwmuoa soon ungebaki mgane.

Kuna mwanamke anakukataa kwasabb mbingu zinajua wewe ni mwema, mnyenyekevu na mwaminifu wakati huyo mke ni kicheche, pukushani nguo kuchanika. Ukimuoa utakufa mapema.

Ndiyo maana tunaambiwa na maandiko kuwa "shukurani kwa kila jambo"
hakuna neno mgane kwenye kiswahili,ukifiwa mume,mwanamke unabaki mjane,na ukifiwa mke,mwanaume unabaki mjane tu
 
Unapata wapi ujasir wa kumganda mtu keshakutolea nje?wanaume tunajidharaulishaga sana,mimi manzi akileta usumbufu wa jibu tu natembea mbele!
 
Hakukua na vyombo vya dola? Usiombee ukutane na kitu kinaitwa kesi ya sexual harassment
Mwamko haukuwa mkubwa kama zama hizi za saizi,mabinti wengi hawakujua wajitetee vp...
Halafu mkuu,bado kuna wanawake wananyanyaswa kingono na hawachukui hatua...
 
Back
Top Bottom