Usimchukie mwanamke anayekukataa

Usimchukie mwanamke anayekukataa

hii iliwai kunitoea kwa madem wawili, niliwatongoza wakanichomolea baadae nikawachukia nikakata ata mawasiliano nao, baadae nikaja kugundua kwamba yanini niwachukie, tatizo liko wapi, nikawa nikionana nao salam fresh, baadae mmoja alivyoona nipo normal simuhangaikii tena kumtaka akajishtukia akaanza kunitaka yey kwa udi na uvumba mim nikawa ninawasiwasi nae nikamtema.

wapili anaishi mkoani uko amepata ajira ndogo kwenye taasisi fulani uyo ananipigaga genji mara kwa mara mim namkwepa
 
Kuna wanawake wanakataa kwasabb mbingu zinafahamu umri wa huyo ni mfupi. Hivyo zinampa muongozo akukatae. Ungemuoa soon ungebaki mgane.

Kuna mwanamke anakukataa kwasabb mbingu zinajua wewe ni mwema, mnyenyekevu na mwaminifu wakati huyo mke ni kicheche, purukushani nguo kuchanika. Ukimuoa utakufa mapema.

Ndiyo maana tunaambiwa na maandiko kuwa "shukuruni kwa kila jambo"
And it's vice-versa is true
 
Back
Top Bottom