Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Wengi huwa anakusaidia huku anakunyanyasa we! Ukipata mlango wa kutokea tu unamkataa anaanza kulalamika😁.Ukiwa unataka kumsaidia mtu hakikisha humnyanyasi wala humtesi katika mchakato wa kumsaidia.
Mara nyingi kugeukwa au kuzungukwa na uliemsaidia sababu hua ni kisasi.
Hakika mkuu, kama unataka kumsaidia mtu hakikisha unafanya hivyo kwa upendo, otherwise usisaidie mtu.Wengi huwa anakusaidia huku anakunyanyasa we! Ukipata mlango wa kutokea tu unamkataa anaanza kulalamika😁.
Tuishi kwa upendo, kuna watu wamesaidiwa na wanaendeleza upendo hadi kwa familia nzima walizotokea. Wanakuwa ndugu kabisa
Umeongea point. Mtu ukimsaidia msaidie kwa moyo wote bila kumwekea masharti yoyote. Na ukishamsaidia mwache ajipambanie na sio kumfuata fuata. Kuna jamaa yangu mwaka 2014 alikuwa kapigika hatari akawa hana nauli ya kutoka Arusha - Mbeya kwenda kwenye interview. Nakumbuka hata mimi nilikuwa nimepigika sana ila nikamsaidia hela ya tiketi tu. Alikuja kupata ile kazi na hadi muda huu kupitia hiyo kazi anaenda Ulaya na Amerika kama Kkoo. Hadi leo hii tumebaki kuwa marafiki na tunasaidiana hapa na pale. Imekuwa hivyo kwasababu mara baada ya kusaidiana kila mtu aliendelea kuwa bize na maisha yake.Ukiwa unataka kumsaidia mtu hakikisha humnyanyasi wala humtesi katika mchakato wa kumsaidia.
Mara nyingi kugeukwa au kuzungukwa na uliemsaidia sababu hua ni kisasi.
Hapana,Ukiwa unataka kumsaidia mtu hakikisha humnyanyasi wala humtesi katika mchakato wa kumsaidia.
Mara nyingi kugeukwa au kuzungukwa na uliemsaidia sababu hua ni kisasi.
Eeh ukimsaidia mtu huku unamnyanyasa jua huo sio msaada na hauna baraka zozoteHakika mkuu, kama unataka kumsaidia mtu hakikisha unafanya hivyo kwa upendo, otherwise usisaidie mtu.
Nakubali hii pia inaweza kua sababu, ila ni mara chache sana hutokea.Hapana,
mara nyingi ni kutokuwa waadilifu, kijicho(envy eye) bila kusahau ushamba/ulimbukeni.
Kabisa mkuu.Eeh ukimsaidia mtu huku unamnyanyasa jua huo sio msaada na hauna baraka zozote
CCM ni wajanja sana ndo maana wanaendelea kutufanya watumwa wanajua tu wakitufanya huru wamekwisha.Wengi wetu tumekuwa tukilalamika njinsi marafiki, ndugu na n.k tunapo wapa mwangaza asilimia 100 na kujikuta wanakuwa wabaya kwako.
Nilimchukua jamaa mmoja nika mpeleka nchi za nje kwa roho ya kutaka na yeye kufunguka ila mwisho wa siku ndio yeye anayenizunguka nilipo mpeleka kuniwekea vizingiti.
Mambo mengine tuangalie watu walivyo sio tu kwenye biashara na mengine tu ambayo unaweza kujikuta tatizo kwako.
Katika watu wote nilio wai kuwapa TAGS ya kimaisha nimejifunza yafuatayo..Ukiwa unataka kumsaidia mtu hakikisha humnyanyasi wala humtesi katika mchakato wa kumsaidia.
Mara nyingi kugeukwa au kuzungukwa na uliemsaidia sababu hua ni kisasi.
Umemaliza maelezoUkiwa unataka kumsaidia mtu hakikisha humnyanyasi wala humtesi katika mchakato wa kumsaidia.
Mara nyingi kugeukwa au kuzungukwa na uliemsaidia sababu hua ni kisasi.
Wewe ndio HIO ROHOWabongo sio wa kuwasaidia wana roho za cashew nuts
Tenda kwa kiasi wengine wanatenda kupitiliza Mwisho wanaishia kutenda visivyo na baadae mtu akija kugundua kua alikua akitumika kwa manufaa ya aliemtumia kifuatacho ni revenge na zile za sitaki hata kumuona kwenye Maisha yanguKabisa mkuu.
Na akitoboa na yeye lazima alipize kukunyanyasa🤣
Kuna kusaidia kwa manufaa ya MsaidiwaNakubali hii pia inaweza kua sababu, ila ni mara chache sana hutokea.
Yaani from no where mtu umemtoa chini, ukampigania hadi akatoboa then akageuka kua adui baada ya kutoboa bila sababu yoyote? Hapana.
Tujirekebishe kidogo tusiwalaumu saaaana tuliowasaidia, tuangalie na matendo yetu yalikuaje pindi tunawasaidia
Mahi lavuu mambo? 😂Wewe ndio HIO ROHO
Bado haimaanishi usisaidie watu wahitaji hasa ndugu zako utakuwa unakosea zaidi..Wengi wetu tumekuwa tukilalamika njinsi marafiki, ndugu na n.k tunapo wapa mwangaza asilimia 100 na kujikuta wanakuwa wabaya kwako.
Nilimchukua jamaa mmoja nika mpeleka nchi za nje kwa roho ya kutaka na yeye kufunguka ila mwisho wa siku ndio yeye anayenizunguka nilipo mpeleka kuniwekea vizingiti.
Mambo mengine tuangalie watu walivyo sio tu kwenye biashara na mengine tu ambayo unaweza kujikuta tatizo kwako.
NDIO nini!?Mahi lavuu mambo? 😂
Unanisaidia sawa ila sio unitangaze kwa kila mtu hapo utaniona mimi mbaya isee..Nakubali hii pia inaweza kua sababu, ila ni mara chache sana hutokea.