Usimfungue mtumwa ambaye yupo kwenye utumwa wake, anaweza kukugeuka

Usimfungue mtumwa ambaye yupo kwenye utumwa wake, anaweza kukugeuka

Wengi wetu tumekuwa tukilalamika njinsi marafiki, ndugu na n.k tunapo wapa mwangaza asilimia 100 na kujikuta wanakuwa wabaya kwako.

Nilimchukua jamaa mmoja nika mpeleka nchi za nje kwa roho ya kutaka na yeye kufunguka ila mwisho wa siku ndio yeye anayenizunguka nilipo mpeleka kuniwekea vizingiti.

Mambo mengine tuangalie watu walivyo sio tu kwenye biashara na mengine tu ambayo unaweza kujikuta tatizo kwako.
Kumgeuka shetani ni kutangaza vita na kuzimu... sasa kumzingua kaka yake sijui inakuwaje walah🤣
 
Usije ukamsaidia mswahili. Utakuja juta. Msaidie mwanao tu au mkeo.
 
Fanya Kwa wengine kama upendavyo kufanyiwa,hatufanyi Kwa sababu tutalipwa na tuliowafanyia ila kwasababu na sisi tulisaidiwa na hata tusiowafahamu
 
Back
Top Bottom