USIMKATIE MTU TAMAA, NI SUALA LA MUDA UNAWEZA KUA YEYOTE KWENYE MAISHA YAKO

USIMKATIE MTU TAMAA, NI SUALA LA MUDA UNAWEZA KUA YEYOTE KWENYE MAISHA YAKO

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Maisha hayana formula, Mara nyingine kwenye Maisha yako omba Sana Bahati! Huwezi amini ndio huyu sasahivi anakaa meza moja na Wararabu kutoka Saudia, yeye ndio anaamua akate kipande kipi.
 
Attachments

  • Snapsave.app_-krlvMvtjagj1sKv1GzOUDWO0TbKv7WKj2zBe_kNRI69UiQ.mp4
    1.5 MB
Maisha hayana formula, Mara nyingine kwenye Maisha yako omba Sana Bahati! Huwezi amini ndio huyu sasahivi anakaa meza moja na Wararabu kutoka Saudia, yeye ndio anaamua akate kipande kipi.
Pambana mpaka siku ya mwisho, Maisha ni safari!Mungu humpa ampendaye na humnyima pia ampendaye!
 
Sure, Hakuna anayejua Kesho.

Tukiweka Ushabiki nazi pembe Mh. Kapuyanga pakubwa kuwai kutokea
 
Back
Top Bottom