abdallah chongono
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 351
- 196
Hivi wewe ulioandika ushawai kuna na mume asie na pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante. Kidogo nianze kujibu hoja...kumbe hawa watoto wanatakiwa kurudi shule januari.
anhaa nikadhani umepanic kwa maana hiyo lugha mmmhMambo Jose
Niko good usiogope
Ni kurekebishana tu kimsingi Hii mada si kuandikwa na dumeanhaa nikadhani umepanic kwa maana hiyo lugha mmmh
Kanye tikiti basiAisee matusi sio mpango
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Ni kurekebishana tu kimsingi Hii mada si kuandikwa na dume
Acha kuendekeza ujinga. Mtu kuwa na pesa ama kutokuwa na pesa ni inategemea na maisha anayo ishi , and tambua hakuna mwanaume anaye penda umaskini.Kumekuwa na trend ya wanaume tukilalamika kuwa wanaawake wanapenda pesa au wanatuomba sana pesa,mimi naona wako sahihi!!
Maisha yale ya kuvumilia mme/mchumba akiwa hana kitu kwa kigezo cha upendo kwa sasa ni ujinga kwa sababu tafiti zinaonesha wanaume wengi 3/4 ya waliokuwa maskini siku wakizipata lazima wabadili wanawake na hata wasipobadili basi wanaanza kuwa wasaliti na wasumbufu!
Sasa kwanini mdada ujitese na umaskini wa mtu wakati siku akizipata lazima zitakuja na misukosuko katika mahusiano yenu!!
Wanaume tuwe wakweli hapa wala tusidanganyane wakati ukiwa huna uwezo huwa kuna vitu vingi sana huwa unavitaman Especially wanawake wazuri(hata kama wa kwako ni mzuri ila bado utakuwa unatama wanaopendeza huku ukitumia msemo wa wenye pesa wanafaidi) iv unadhan siku ukizipata hutajaribu kufaidi?
Nawashaur wanawake ombeni pesa na achaneni na wanaume maskini kwa kisingizio cha kuvumilia
Mwanaume haturidhiki
Nakaribisha Mapovu.
Hakili za kitoto hizoKumekuwa na trend ya wanaume tukilalamika kuwa wanaawake wanapenda pesa au wanatuomba sana pesa,mimi naona wako sahihi!!