Usimkubali wala kumvumilia mwanaume asiye na pesa

What if i prefer sex over money?

Anyway nadhani kuwa mwanamke siyo disability ya kumfanya awe tegemezi kiasi hicho

Pia mapenzi ni more than material things,watu wengine wana spiritual connection zinazowafanya wapendane na kuridhiana

Ila kama unazungumzia ukahaba naamin upo sahihi.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28], inasemekana mtoa mada amelazwa kwa presha...wakuu wameungana kutoa kichambo quality
 
Acha kuendekeza ujinga. Mtu kuwa na pesa ama kutokuwa na pesa ni inategemea na maisha anayo ishi , and tambua hakuna mwanaume anaye penda umaskini.
Cha pili unawasukuma wanawake waweke tamaa ya kuomba pesa mfululizo, means unawamasisha kuwa malaya kama wa sinza, tofauti ni kuwa wale wanajiuza barabarani, nyine mnajiuza whatsapp,facebook.
Hela ninazo,kazi ya maana ninayo, lakin mwanamke akiendekeza ushenzi kama huo huwa namuondoa na kumtupilia mbali. Kisha navuta kingine. Staki stress ..

Kwa wanaume wenzangu, hata kama pesa mnazo.mwanamke akiendekeza tamaa ya pesa,mpoteze kama ben saanane.
 
Hakili za kitoto hizo
 
Zama hizi ni za Toa kitu upate kitu.. Ukipewa ukazingua unaachwa kwenye mataa ni wachache sana wenye mioyo ya utoaji tuuuuu nae inafika wakati anachoka
Kwa wanaume wanaojua kusugua ila penniless pia wana ki bahati fulani....

Kwa wenye vyote mipesa na mshipa napo baadhi yao wanawake kazi tunayo foleni kama walimu wakiwa atm tarehe za mshahara

Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…