Usimkubali wala kumvumilia mwanaume asiye na pesa

Usimkubali wala kumvumilia mwanaume asiye na pesa

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Kumekuwa na trend ya wanaume tukilalamika kuwa wanaawake wanapenda pesa au wanatuomba sana pesa,mimi naona wako sahihi!!

Maisha yale ya kuvumilia mme/mchumba akiwa hana kitu kwa kigezo cha upendo kwa sasa ni ujinga kwa sababu tafiti zinaonesha wanaume wengi 3/4 ya waliokuwa maskini siku wakizipata lazima wabadili wanawake na hata wasipobadili basi wanaanza kuwa wasaliti na wasumbufu!

Sasa kwanini mdada ujitese na umaskini wa mtu wakati siku akizipata lazima zitakuja na misukosuko katika mahusiano yenu!!

Wanaume tuwe wakweli hapa wala tusidanganyane wakati ukiwa huna uwezo huwa kuna vitu vingi sana huwa unavitaman Especially wanawake wazuri(hata kama wa kwako ni mzuri ila bado utakuwa unatama wanaopendeza huku ukitumia msemo wa wenye pesa wanafaidi) iv unadhan siku ukizipata hutajaribu kufaidi?

Nawashaur wanawake ombeni pesa na achaneni na wanaume maskini kwa kisingizio cha kuvumilia


Mwanaume haturidhiki

Nakaribisha Mapovu.
 
Nimemuona kipendacho roho JF



Kipindi cha likizo.




3dcf97b6ad9cc997d9c949c1e1e86d74.jpg
 
Aisee [emoji50] ! Kumbe ndio msemaji wa wanawake.
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
siku hizi hata wanawake wanajivika uanaume ili wafikishe upupu wao!!

Kwani ungeandika kwa jinsia yako halisi usingeeleweka?
 
...Kwa hiyo Pesa inaku..... au!?....Mjinga na wajinga wenzako
 
Back
Top Bottom