Salaam,
Baadhi ya wanawake, wanatabia ya kuwapa watoto wao wa kiume, jina la ex wake pendwa, ambae aliamini ndo mwanaume wa ndoto zake.
Hivi karibuni ex wangu wa kitambo alinambia kapata mtoto wa kiume na kampa jina langu kama kumbukumbu, ukweli niliumia sana hasa nilipovaa viatu vya mumewe.
Ndugu zangu nawaasa msiwaruhusu wake zenu kuita majina watot wa kiume labda liwe jina la baba yake.