Usimruhusu mkeo kuchagua jina la mtoto wa kiume

Huu ni wasiwasi tu kwa ndoa ambazo mume na mke hawaaminiani. Kwenye ndoa hakuna formula moja ambayo inafanya kazi kwa wote kwa namna ileile. Mimi na mke wangu tulikubaliana kutokuwekeana sheria yoyote, bali tuishi tu kwa upendo, uaminifu na kuheshimiana na ingawa mara nyingi tunakuwa na changamoto ya kifedha, lakini angalau kwa kiasi kikubwa tumeshinda matatizo mengi ambayo wanandoa wenzetu wanakumbana nayo. Moja ya eneo ambalo tumefanikiwa hasa ni trust. Mimi naweza nikasahau simu yangu nyumbani au mke wangu na kila mmoja akakuta phone calls na meseji zake hazijapokelewa au kusoma. Au wakati mwingine mmoja anaweza kuicha simu yake na kumwambia mwenzake "ikiingia meseji soma au mtu alinipigia simu pokea in case kuna meseji ya dharura inayohitaji jibu la haraka." Baadhi ya wanandoa mmoja akienda kuoga bafuni anakwenda na simu yake, ikiwa na maana kwamba ni heri ianguke kwenye maji ife, kuliko kuicha sebuleni au chumbani ambako mwenzake amekaa. Katika mazingira kama haya kuwa na formula moja it's almost always impossible.
Hili la trust mmefanikiwa sana,maana shida zote katika familia nyingi chanzo huanzia katika simu
 
Gari huna
Salaam,

Baadhi ya wanawake, wanatabia ya kuwapa watoto wao wa kiume, jina la ex wake pendwa, ambae aliamini ndo mwanaume wa ndoto zake.

Hivi karibuni ex wangu wa kitambo alinambia kapata mtoto wa kiume na kampa jina langu kama kumbukumbu, ukweli niliumia sana hasa nilipovaa viatu vya mumewe.

Ndugu zangu nawaasa msiwaruhusu wake zenu kuita majina watot wa kiume labda liwe jina la baba yake.
Unataka achague viatu tu???
 
Sio swala la wanawake au wanaume, liko kibinadamu zaidi. Hakikisha jina la mtoto ni ambalo wazazi wawili mnakubaliana. Period.
 
Salaam,

Baadhi ya wanawake, wanatabia ya kuwapa watoto wao wa kiume, jina la ex wake pendwa, ambae aliamini ndo mwanaume wa ndoto zake.

Hivi karibuni ex wangu wa kitambo alinambia kapata mtoto wa kiume na kampa jina langu kama kumbukumbu, ukweli niliumia sana hasa nilipovaa viatu vya mumewe.

Ndugu zangu nawaasa msiwaruhusu wake zenu kuita majina watot wa kiume labda liwe jina la baba yake.
Joseph😁😁😁🤭🤭🤭🤭
 
Mie nimepewa jina la kiume la ex wa mama!
Shida!
 
Sawa majina tunatoa wote baba na mama linapigiwa kura litakalo win atapewa hata kama nila ex
Sasa kwa mfano Wana ndoa ni Makabila tofauti Mume kachagua jina la kilugha Mfano Masawe na Mke kachagua jina kilugha Wambura sasa hapo si tatizo ?
 
Back
Top Bottom