Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Kila siku huwa nasema, mambo sijui ya gender equality yabaki matangazo ya kwenye majukwaa, mwanamke akiingia ndani lugha iwe moja tu, Baba ndio kichwa cha nyumba, kwenye hili wazee wetu waliweza sana, mke anaweza achishwa kazi au analazimika kuhamia mumewe aliko, ukileta mambo ya democracy sijui tujadiliane mambo ambayo mwanaume unaweza fanya maamuzi na maamuzi yako yakawa sheria. Tusimamie hapo, mwanamke atatii tu