Kwani mke ndio huwa anaita majina?? mimi wanangu wote majina nilishayaweka kwenye Dayari hata kabla hawajaja, walipokuja waliyakuta tuSalaam,
Baadhi ya wanawake, wanatabia ya kuwapa watoto wao wa kiume, jina la ex wake pendwa, ambae aliamini ndo mwanaume wa ndoto zake.
Hivi karibuni ex wangu wa kitambo alinambia kapata mtoto wa kiume na kampa jina langu kama kumbukumbu, ukweli niliumia sana hasa nilipovaa viatu vya mumewe.
Ndugu zangu nawaasa msiwaruhusu wake zenu kuita majina watot wa kiume labda liwe jina la baba yake.
Kuna wanawake huleta ngonjera kua anapenda jina fulani kumbe ni la ex, ukimkubalia anaita.Kwani mke ndio huwa anaita majina?? mimi wanangu wote majina nilishayaweka kwenye Dayari hata kabla hawajaja, walipokuja waliyakuta tu
Kwa hilo unastahili pongezi.Me mzazi mwenzangu alitaka kumuita mtoto BABANGIDA nikamzuia
Hakuna ubaya ili mradi tu liwe na maana nzuri.Salaam,
Baadhi ya wanawake, wanatabia ya kuwapa watoto wao wa kiume, jina la ex wake pendwa, ambae aliamini ndo mwanaume wa ndoto zake.
Hivi karibuni ex wangu wa kitambo alinambia kapata mtoto wa kiume na kampa jina langu kama kumbukumbu, ukweli niliumia sana hasa nilipovaa viatu vya mumewe.
Ndugu zangu nawaasa msiwaruhusu wake zenu kuita majina watot wa kiume labda liwe jina la baba yake.
NAKAZIAmsiwaruhusu wake zenu kuita majina watot
Kwani hata ukimwita Juma ndio Kusema Juma dio EX wa mtu?Salaam,
Baadhi ya wanawake, wanatabia ya kuwapa watoto wao wa kiume, jina la ex wake pendwa, ambae aliamini ndo mwanaume wa ndoto zake.
Hivi karibuni ex wangu wa kitambo alinambia kapata mtoto wa kiume na kampa jina langu kama kumbukumbu, ukweli niliumia sana hasa nilipovaa viatu vya mumewe.
Ndugu zangu nawaasa msiwaruhusu wake zenu kuita majina watot wa kiume labda liwe jina la baba yake.
Hakuna mwanaume wa hivyoHata nyiee wanaumee mnatoagaa ya maex zenu mlioshindwaa kuwasahauu...
HahahaMtakoma kuoa malaya na kuwapachika majina ya wake.
Mzee Malaya wana ushawishi sana. Usipokuwa makini akikuamulia utamuoa tu.Mtakoma kuoa malaya na kuwapachika majina ya wake.
Mwanaume kwa ex alieshindwa kumsahau hufuata kupasha kiporo bt kuita jina sidhani.Hata nyiee wanaumee mnatoagaa ya maex zenu mlioshindwaa kuwasahauu...
Kuna dada aliwahi nambia ex pendwa hua na nafasi ya pekee kwa mwanamke, hivo kwa ulichoandika nathibitisha.Hakuna ubaya ili mradi tu liwe na maana nzuri.