Ndio, shida ni kwamba wanaume wanakimbia mimba sasa hapo ujasiri wa kumpa mtoto jina unatoka wapiHata kama ni mtoto wa kike jukumu la kutoa jina ni la Baba sio Mama. Ndo umwanaume tuliolelewa nao huo
Wanaume hawana maujinga hayo ya ex,ni nyege tu zikiwazidia wanatafuta wapi mtelezoMwanaume kwa ex alieshindwa kumsahau hufuata kupasha kiporo bt kuita jina sidhani.
Duuh! Mkuu We unafanana na Mr yaani majina anakuwa ameshayaandaa.Kwani mke ndio huwa anaita majina?? mimi wanangu wote majina nilishayaweka kwenye Dayari hata kabla hawajaja, walipokuja waliyakuta tu
Mwanamke akiwa na jambo lake huleta vizingizio kibao ili afanikiwe, kilichomuhimu ni kumkataliaKwani hata ukimwita Juma ndio Kusema Juma dio EX wa mtu?
Kwanza ujasiri wa Mwanamke kumwita mtoto jina unatoka wapi?
Upo sahih mkuu.Wanaume hawana maujinga hayo ya ex,ni nyege tu zikiwazidia wanatafuta wapi mtelezo
Kujifariji ni jambo zuri pia.Mtakoma kuoa malaya na kuwapachika majina ya wake.
Ndio utaratibu mkuuDuuh! Mkuu We unafanana na Mr yaani majina anakuwa ameshayaandaa.
Yaani anakaaga tu kusubiri atatoka wa jinsia gani aangalie kwenye diary yake.
Ukiona anakazia sana kuita mtoto wa kiume ujue kuna ex pendwa anataka kupewa maua yake.Siku hizi wanawake wanaita sana majina au utasikia dada yake anasema tumuite 'Uhuru'
Nimelishuhudia hili Kuna staff met kampaa jina la mtoto wake wa kike la ex wakee kwambaa hawezi kumsahau kamwee vile alimpenda Sanaa..Mwanaume kwa ex alieshindwa kumsahau hufuata kupasha kiporo bt kuita jina sidhani.
Mnashindwa kuoa wanawake wa maana kwa kigezo cha kuwa washamba na kutokuwa elimu, badala yake mnaenda kuoa machangudoa wa vyuo na waigiza maisha, alafu mkipingwa matukio mnakuja humu kujiliza liza.Kujifariji ni jambo zuri pia.
Ukiita wewe likifanana hakuna tatizo, shida ni ukimpa ruhusa then akaita jina la exKama unaangaliaga tamthiria za kibongo, pale Jua Kali Mr. Michael alitoa jina la "mwanae" wa kiume, jina lilikua na marehemu baba yake kumbe mkewe pia kapiga copy na mwanaume mwenye jina la baba wa Mr. Michael, so kutoa jina wewe kama baba sio lazima sana lisidanane na mume mwenzio, remember kuna coincidence pia, mfano ndio kama huo wa Jua Kali. Ishi tu
Wanaume wamekuwa wapumbavu sana siku hizi
Yaani hizi ndio bato za maisha kushindana na mke wako jina la mtoto
Umasikini ni kazi
Huu ni wasiwasi tu kwa ndoa ambazo mume na mke hawaaminiani. Kwenye ndoa hakuna formula moja ambayo inafanya kazi kwa wote kwa namna ileile. Mimi na mke wangu tulikubaliana kutokuwekeana sheria yoyote, bali tuishi tu kwa upendo, uaminifu na kuheshimiana na ingawa nasi tunakuwa na changamoto zetu, lakini angalau kwa kiasi kikubwa tumeshinda matatizo mengi ambayo wanandoa wenzetu wanakumbana nayo. Moja ya maeneo ambayo tumefanikiwa hasa ni trust. Mimi naweza nikasahau simu yangu nyumbani au mke wangu na kila mmoja akakuta phone calls na meseji zake hazijapokelewa au kusoma. Au wakati mwingine mmoja anaweza kuicha simu yake na kumwambia mwenzake "ikiingia meseji soma au mtu alinipigia simu pokea in case kuna meseji ya dharura inayohitaji jibu la haraka." Baadhi ya wanandoa mmoja akienda kuoga bafuni anakwenda na simu yake, ikiwa na maana kwamba ni heri ianguke kwenye maji ife, kuliko kuicha sebuleni au chumbani ambako mwenzake amekaa. Katika mazingira kama haya kuwa na formula moja it's almost always impossible.Salaam,
Baadhi ya wanawake, wanatabia ya kuwapa watoto wao wa kiume, jina la ex wake pendwa, ambae aliamini ndo mwanaume wa ndoto zake.
Hivi karibuni ex wangu wa kitambo alinambia kapata mtoto wa kiume na kampa jina langu kama kumbukumbu, ukweli niliumia sana hasa nilipovaa viatu vya mumewe.
Ndugu zangu nawaasa msiwaruhusu wake zenu kuita majina watot wa kiume labda liwe jina la baba yake.
😅😜Kuna dada aliwahi nambia ex pendwa hua na nafasi ya pekee kwa mwanamke, hivo kwa ulichoandika nathibitisha.
Hata shule wanatumia hayo?Watoto wangu huwa nawaita babu na kadadaa,wakijitambua wajichagulie majina yao mwenyewe.