Usimruhusu mkeo kuchagua jina la mtoto wa kiume

Hili la trust mmefanikiwa sana,maana shida zote katika familia nyingi chanzo huanzia katika simu
 
Gari huna
Unataka achague viatu tu???
 

Sio swala la wanawake au wanaume, liko kibinadamu zaidi. Hakikisha jina la mtoto ni ambalo wazazi wawili mnakubaliana. Period.
 
Joseph😁😁😁🤭🤭🤭🤭
 
Mie nimepewa jina la kiume la ex wa mama!
Shida!
 
Sawa majina tunatoa wote baba na mama linapigiwa kura litakalo win atapewa hata kama nila ex
Sasa kwa mfano Wana ndoa ni Makabila tofauti Mume kachagua jina la kilugha Mfano Masawe na Mke kachagua jina kilugha Wambura sasa hapo si tatizo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…