DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Ndio funguka vizuri Yusuphu kwa mke wa Potifa nini kimekutokea mpaka ukawasamehe ndugu zako wakina Benjamin maana walikuuza utumwani Misri baada ya kuamua kughairisha kukuangamiza kisimani?
You have to be half man half mammalKwa hio hapo unataka kusamaje adui unaemmudu usimuachie Mungu au sio?
Yaan maana yake kwamba nusu mwanaume nusu mama (mwanamke) au sijaelewa?Kwangu Mimi if you need my forgiveness ujue you waste ur time
I'm half man half mammal
Half human half animal or half human half beast ndio unamaanisha hivyo?You have to be half man half mammal
And the guy with strict code .
Nusu binadamu na nusu mnyamaHalf human half animal or half human half beast ndio unamaanisha hivyo?
Kingereza mpaka nikilewa naongea kingereza.. sawa mkuu wanasemaje kwamba ukiwa jasusi bobevu kwenye uga wa kijasusi na majasusi, punguza imani na chunga sana imani yako usikiamini hata kivuli chako.. trust can get you killedNusu binadamu na nusu mnyama
AhaaaaKingereza mpaka nikilewa naongea kingereza.. sawa mkuu wanasemaje kwamba ukiwa jasusi bobevu kwenye uga wa kijasusi na majasusi, punguza imani na chunga sana imani yako usikiamini hata kivuli chako.. trust can get you killed
Naomba uzi ufungwe.
Mkuu hivi reply yako imenichekesha sana.Yaan maana yake kwamba nusu mwanaume nusu mama (mwanamke) au sijaelewa?
umemaliza kila kitu.Kingereza mpaka nikilewa naongea kingereza.. sawa mkuu wanasemaje kwamba ukiwa jasusi bobevu kwenye uga wa kijasusi na majasusi, punguza imani na chunga sana imani yako usikiamini hata kivuli chako.. trust can get you killed
Naomba uzi ufungwe.
Kuna vitu vingi vya kujifunga na kujifunza.. mimi napenda kujifunza kupitia maandiko sio kujifunga napenda kujifunza elewa hapo.. maana kuna watu wanajifunza na kuna watu wanajifunga.. unajua ukifuatilia maandiko na simulizi za kibiblia hata Nabii Issa Wakristu wanaita na kwa Waislamu wanamuita Bwana Yesu yeye alipoteswa na kupelekeshwa kwa shuruba na kupigwa marungu na kutemewa mate kisha kuchapwa mijeredi akiwa uchi wa mnyama kisha kwenda kutundikwa msalabani na kuchomwa mkuki ubavuni ili kuhakikisha km kweli amekufa mwishoni alikabidhi msamaha wake kwa Baba yake kwamba Baba hawa najua utakachowafanya ila Baba naomba uwasamehe kwa maana hawajui walitendalo... ila yeye km yeye hakuwahi kusema Baba nimewasamehe watu hawa kwa walichonifanyia kwa maana yake Bwana Yesu hajawahi kusamehe wale waliomtia shuruba siku ile ya kumuua kwa mateso mazito km ipo naomba kusahihishwa maana sio mchambuzi mzuri ila ni msomaji mzuri.. wewe unasamehe km nani na huku unataka kuishi je unataka kufa?samehe, ndio
sahau, hapana
Chuki humchoma anayehifadhi
Na msamaha hauna kigezo kuna watu wanakuomba msamaha wenye yakutimiza "kama umenisamehe fanya hivi au vile" iyo hapana msamaha ukishatoka moyoni inatosha
tusamehe lakini tusisahau
Mammal siyo mama mbulukenge wewe, mkiambiwa someni muelimike mnaona mnatukanwaYaan maana yake kwamba nusu mwanaume nusu mama (mwanamke) au sijaelewa?
Aliyeua watu 10,000 no forgiveness.Kwangu Mimi if you need my forgiveness ujue you waste ur time
I'm half man half mammal
Popo (bat) ni bird, mammal or animal? Tuanzie hapo ujue kutofautisha kati ya X na kuzidisha × au Msalaba ✝️ na Jumlisha +Mammal siyo mama mbulukenge wewe, mkiambiwa someni muelimike mnaona mnatukanwa
Vipi mtu alieua ndugu zako unaweza kumsamehe?Usije ukathubutu Kusamehe MTU aliyetaka kukuua, au alijaribu kutengeneza mazigira ya wewe usifanikiwe .
Jambo la kujua ni kuwa watu huwa hawabidiliki Kama ni mbaya ni mbaya na Kama ni mzuri mzuri .
Kwahiyo haiwezekani mtu yule yule aliyekukataa kipindi Fulani Leo aje akukubali kisa tu Una cheo, fedha au nafasi Fulani .
Hata Kama ni ndugu yako wa damu usimsamehe.
It’s crazy when people think that just because you have some money or success and people start to like you that you transcend race. People try this shit all the time .
Ukikataa hili swala ujue utajifunza kwa njia ngumu Sana.