Usimsamehe mtu yeyote ambaye mwanzo akitaka kukuua, au kukutengenezea Mazingira ya wewe kutofanikiwa

Aliyeua watu 10,000 no forgiveness.
We unaona hatari then unaingia katika hatari ukiwa unajua mazingira hayaruhusu unafikiri unasalalimikaje ..

Ndo maana tunasema calculate ur MOVE
 
Vipi mtu alieua ndugu zako unaweza kumsamehe?

Mimi I'm the half man half mammal

Kwahiyo ukijaribu MCHEZO Kama huo ujue siwezi kuja kujiliza mitandaoni hapa.

Ila I will show you how the different person I'm .
 
Mimi I'm the half man half mammal

Kwahiyo ukijaribu MCHEZO Kama huo ujue siwezi kuja kujiliza mitandaoni hapa.

Ila I will show you how the different person I'm .
Mkuu una Kiingereza kigumu sana. Una maana gani ukisema half man half mammal?
 
Popo (bat) ni bird, mammal or animal? Tuanzie hapo ujue kutofautisha kati ya X na kuzidisha × au Msalaba ✝️ na Jumlisha +
Mammals,hii darasa la tano nadhani
 

Attachments

  • Screenshot_2025-12-18-14-02-19-558.jpg
    133.7 KB · Views: 14
Mkuu una Kiingereza kigumu sana. Una maana gani ukisema half man half mammal?

Nadhani nimeeleweka .

Kwahiyo ukiwa nice nitakuwa nice Ila ukijaribu kutaka kuharibu Familia yangu

Nitahama kutoka being a man into mammal
 
Jibu swali kwamba kwanini Popo (bat) anaitwa mammal ukimaliza kujibu usiniambie kwanini nilisema huyo ni mama.. mama hua anafanywa nini?
 
Jibu swali kwamba kwanini Popo (bat) anaitwa mammal ukimaliza kujibu usiniambie kwanini nilisema huyo ni mama.. mama hua anafanywa nini?
Popo mwanamke hajitii mimba,kudhani Mammalia ni mnyama anyonyeshae tu bila kukumbuka huwezi nyonyesha bila mimba ni kutoelewa vizuri classification,hata babaako na midevu yake ni mammal/Mammalia
 
Mkuu mbona hapo ulipo wewe ni mammal pia?

Hapa nazungumzia attributes

Binadamu ana attributes zake na mnyama ana attributes zake.

Kwahiyo you can't play nice 24/7/365 you can't

Kwakuwa everyone anataka kuhakikisha Kama hajakutumia kwa interest zake basi hakikishe Ana Ku-separate kwenye pack

Ikiwa MTU kaua ndugu zako utamvumilia vipi tena .

Maana Kama kaua ndugu zako usipobadilisha sifa zako kutoka binadamu kwenda kwa mnyama means you will be the next one .
 
Popo mwanamke hajitii mimba,kudhani Mammalia ni mnyama anyonyeshae tu bila kukumbuka huwezi nyonyesha bila mimba ni kutoelewa vizuri classification,hata babaako na midevu yake ni mammal/Mammalia
Kwa hio popo mwanaume ni ndege sio mammal? Unajua sababu ya Popo kua mammal na huku yeye ni kiumbe anaepaa angani au haujui tukusaidie kidogo tofauti ya animal na mammal

Mammals are a specific group of animals characterized by features such as the ability to produce milk from mammary glands, having hair or fur, and possessing three middle ear bones. In contrast, the term "animal" encompasses all living organisms in the kingdom Animalia, which includes a wide variety of creatures beyond just mammals.

Shule ngumu..
 
Yaani nimekuwekea sources mbalimbali kukuonesha mammals ni nini, lakini bado unakaza fuvu
 
Yaani nimekuwekea sources mbalimbali kukuonesha mammals ni nini, lakini bado unakaza fuvu
Mammals are a specific group of animals characterized by features such as the ability to produce milk from mammary glands

Tuishie hapo..
 
Then you should say half human half animal.
 
400% true.
Tatizo watu wabishi mpaka wazikwe ndo wataamini.
In addition
Kuna watu wa aina 2.
1. Waovu
mfano ni Yuda Iskarioti.
2. Wadhaifu
mfano ni Simon Petro.
Nambari 1 huyo huwa yupo hivyo, habadiliki, while nambari 2 ni haki tu ya muda ilimkuta anaweza kubadilika na kuwa mtu mzuri
 
crush your enemy completely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…