Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,735
- 5,974
Habari za weekend wakubwa!
Naandika hii thread nikiwa nimetoka kusikiliza story kwa bint mmoja rafiki yangu, ambae mara nyingi hunishirikisha baadhi ya mambo yake ambayo yanastahili mimi kumsikiliza.........
Huyu dada, anahuzunishwa na kitendo cha shemeji (mpenzi wa rafiki yake wa karibu sana) kumtaka mbunye baada ya rafiki yake huyo kumsogeza karibu shemeji yake kwa lengo la kumsaidia kumpatia Kazi....
Hili ni mojawapo Kati ya story nyingi sana za aina hii na zinazofanana na hii, pindi tu mwanamke akiwa anahitaji msaada kutoka kwa Mwanaume...
Ninachoshauri.... Najua sisi ni watu tunaopatwa na majaribu sana...
Nimeweza vyema kuwa wavumilivu sana kipindi ambacho mwanamke anapitia kwenye shida inayohitaji msaada wako, sisi wanaume hutumia nafasi ya matatizo yake kuwa mtego wa kumtafuna.....
Tena inakua maumivu makali, pale anapojua kuwa uwezo wa kumsaidia unao, lakini hutaki kumpa mpaka umtafune... Hii inaumiza kidogo, na sio kidogo!..
Nikiri wazi kabisa, ktk maisha ya ujana nilishawahi kukutana nayo nikayafanya, lakini nimetubu kwa dhambi hii, sitoirudia tena, inaumiza kwakweli.....
Inakua powa sana, unapomsaidia akiwa na shida zake, ukampotezea japokua moyo umeona ipo sababu ya kumtaka, lakini ukasubiri mambo yake yakae Sawa na moyo wake utoe shukrani kwa yale ulomsaidia,.. Nafikiri hapo hata ukienda kumtafuna, mtatafunana kwani nae anafuraha kuwa na mtu anayejivunia...
Jamani! Tunapoteza wake wema kwa kutokuwa wavumilivu kwa namna hii,. Mke usimtongoze akiwa na shida kwako..... Achana na zile shida za mizinga! Hizo achana nazo [emoji51] [emoji16] [emoji16] [emoji16]..
*Kuna wale wageni hawana ndg hapo mtaani kwako,.. Kakuambia anatafuta ndg yake hajui anakoishi, wewe unatumia fursa ya kumbeba na kumpeleka getho kumtafuna.. Hiyo hapana, sio poa.....
"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"