Usimtongoze mwanamke akiwa kwenye shida...

Usimtongoze mwanamke akiwa kwenye shida...

Nani kawaambia wakiwa hawana shida watakukubali?

Kawaulize wadada wa vyuoni pale "BOOM" linapokata.

Hata Mamba husubiri yule Nyumbu mwenye Kiu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh..teh..tee

Mkuu naomba uniruhusu kutumia huo msemo wako.
" Hata mamba husubiri Yule nyumbu mwenye kiu"

Hii ni sauti ya kikatili mkuu. Khaaaah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fadhila mfadhili mbuzi binadam atakuuzi. Huu msemo nimeanza kuuzingatia kipindi cha mwaka 2009, kuna dada mmoja alukuja na shida zake alikuwa mwenye heshima kuliko wanawake wote duniani. Sikua na lengo kimapenzi juu yake, ila msaada ule nilijuta baada ya kufanikiwa, aliniona kama kinyago mpaka leo anajifanya hanijui na line alibadili. Kwa bahati nzuri kila nikimuona na mm namsalimia tu, najifanya kama sikumbuki kilichopo. Mpaka leo yupo kwenye kibarua kisuri tu maisha yanasonga mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuwaga na shida sometimes ila kuliko ni muombe mwanaume nakopa ntalipa maana akikupa laki utasimangwa na kizazi chako. Otherwise ajiongeze atoe kwa kadiri anavyoona itafaa.
 
Mtaji tu sio kilimo ata genge ningefanya mtaji ndomana tunakomaa kusaka Kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe fanya hivi mkubalie huyo boss,kama unasimamia msimamo wako wewe ndo utangulie gest,
hakikisha awe mme wa mtu,
tegesha camera maeneo husika ili umnase sawasawa,kisha weka au vijana wawili walioshiba wachukuwe chumba kinachofuata ili ukiwabeep wavamie kabla boss hajatumbukizamo kibamia chake.

Sasa hapa kuna option nyingi,unaweza kumkamatisha ugoni fake akatoa mahela ukapata mtaji,
au picha zitumike kumblackmail ama atoe hela au picha zimfikie wife na mitandaoni ama atoe job
 
Hapana nyinyi bwana kama dunia tuu mala utaskia kupatwa kwa jua mala sijui kupatwa kwa mwezi
Ko bcoz mnabadilika sana basi lazma utongozwe na upgwe miti
Mana ukishajijua hukawii kumnanga mtu[emoji39]
 
natamani kuhadidhia kisa kimoja lkn naona uvivu

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Tatizo siyo wanaume tu na wanawake ndiyo tatizo kuwa yani wanawake walishaona wao ni wakusaidi kila kitu na pili unaweza kuwa auna ayo mawazo ila mwanamke anakuraisishia mazingira ya kumbandua sasa kama ameona kusaidi kwa uraisi anipe mm nikatee kwann ata kama ni dada yangu anatabia za kujiraisisha kwa wanaume wambanduwe tu atajua mwenyewe akifa na ukimwi tutazika tutasahau watazaliwa wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za weekend wakubwa!

Naandika hii thread nikiwa nimetoka kusikiliza story kwa bint mmoja rafiki yangu, ambae mara nyingi hunishirikisha baadhi ya mambo yake ambayo yanastahili mimi kumsikiliza.........
Huyu dada, anahuzunishwa na kitendo cha shemeji (mpenzi wa rafiki yake wa karibu sana) kumtaka mbunye baada ya rafiki yake huyo kumsogeza karibu shemeji yake kwa lengo la kumsaidia kumpatia Kazi....
Hili ni mojawapo Kati ya story nyingi sana za aina hii na zinazofanana na hii, pindi tu mwanamke akiwa anahitaji msaada kutoka kwa Mwanaume...
Ninachoshauri.... Najua sisi ni watu tunaopatwa na majaribu sana...
Nimeweza vyema kuwa wavumilivu sana kipindi ambacho mwanamke anapitia kwenye shida inayohitaji msaada wako, sisi wanaume hutumia nafasi ya matatizo yake kuwa mtego wa kumtafuna.....
Tena inakua maumivu makali, pale anapojua kuwa uwezo wa kumsaidia unao, lakini hutaki kumpa mpaka umtafune... Hii inaumiza kidogo, na sio kidogo!..
Nikiri wazi kabisa, ktk maisha ya ujana nilishawahi kukutana nayo nikayafanya, lakini nimetubu kwa dhambi hii, sitoirudia tena, inaumiza kwakweli.....
Inakua powa sana, unapomsaidia akiwa na shida zake, ukampotezea japokua moyo umeona ipo sababu ya kumtaka, lakini ukasubiri mambo yake yakae Sawa na moyo wake utoe shukrani kwa yale ulomsaidia,.. Nafikiri hapo hata ukienda kumtafuna, mtatafunana kwani nae anafuraha kuwa na mtu anayejivunia...
Jamani! Tunapoteza wake wema kwa kutokuwa wavumilivu kwa namna hii,. Mke usimtongoze akiwa na shida kwako..... Achana na zile shida za mizinga! Hizo achana nazo [emoji51] [emoji16] [emoji16] [emoji16]..
*Kuna wale wageni hawana ndg hapo mtaani kwako,.. Kakuambia anatafuta ndg yake hajui anakoishi, wewe unatumia fursa ya kumbeba na kumpeleka getho kumtafuna.. Hiyo hapana, sio poa.....

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
Hahaha
 
Back
Top Bottom