Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,735
- 5,974
- Thread starter
- #21
Sawa kabisa mkuuHapo kuna mawili unaweza mbandua kabla ujamsaidia na ukaendelea kumbandua baada ya kumsaidia au ikawa mwisho ukishamsaidia au unaweza msaidia then ukamkosa baada ya kumsaidia au ukampata so inategemea we utakachoweza fanya tu kwa kweli m nshatoka club na demu alikua kalewa chakali hanijui cmjui bt nlimpeleka geto kwangu nkamvua nguo nikamfunika shuka tukalala asubuhi kaamka kashangaa kua yupo wapi hapa na mm ni nani na akajiangalia akajikuta yuko salama so akanisalimia akanihoji nikamweleza vyote akaniomba aende kuoga alivorudi akanipa mzigo mwenyewe na akanishukuru kwa yote na tukawa wapenzi for almost 2yrs so inategemea mfano kwa mtu mwingine hapo angembandua uyo mtt huo huo ucku bila kujali chochote na mm mfano asubuh asingenipa mzigo bado ningekua poa tu coz nlijitolea kumsaidia maana kampn yake aliokuja nayo ilimwacha waliondoka na ma bebe zao
Sent using Jamii Forums mobile app
"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"