Usimtongoze mwanamke akiwa kwenye shida...

Sawa kabisa mkuu

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Tena kuhusu Hilo ndio usiongee kabisa mbona maboss wanatutombea sana tu huko maofisini kisa hizo ajira,namm mtu akijaa na anavutia napiga kabisa aisee.
Sawa, hao maboss wenyewe si ndo kama wewe..

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Ni kweli kabisa mkuu....

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Hapa ndio pale unapoweza kumu-wini yule anayekutolea nje.

Kawaulize wadada wa vyuoni pale "BOOM" linapokata.

Hata Mamba husubiri pale Nyumbu wanapokuja kuja kunywa Maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah! Aisee we noma.. Haya mkuu!

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Ukute upo na wazazi wako halisi, ukipata mixa ya mama wa kambo msumbufu na anaekunyanyasa hakika kuivua hio chupi hutajiuliza mara mbili.
[emoji46] [emoji46] [emoji46] [emoji46] [emoji46] nikwambie kitu uyasemayo nisawa ila niheri nivumilie mate so kuliko kuuza uyu wangu mwisho unajikuta unaambulia maradhi halafu Kazi zahivyo hudumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona mambo ya kawaida tu hayo inategemea nani kamuwahi mwenzake. we kuna wanawake wakiwa kwene nafasi zao mungu mwenyew akasome....kuna njemba naifaham inalia hadi kesho imesomesha mchumba adi chuo akiwa uko chuo mchumba kapiga uturn kaolewa na njemba nyngine kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli hiyo ni tabia mbayaaa sana laana tu.ndomana kizazi cha Leo kimeharibika sababu ya laana za vizazi
 
Makampuni gani au taasisi gani hizo hadi ugawe mbunye ndio upate kazi?
 
Ukute upo na wazazi wako halisi, ukipata mixa ya mama wa kambo msumbufu na anaekunyanyasa hakika kuivua hio chupi hutajiuliza mara mbili.
Yeye atavua chupi, lakini jiulize wewe unaemvua, unamtendea haki?

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Makampuni gani au taasisi gani hizo hadi ugawe mbunye ndio upate kazi?
Weeeee! Usiseme hivyo mkuu,.. Hii tabia imeota mizizi mkuu, hatari sana,.. Wadada wanatafunwa na wengine wanaishia kutafunwa tu na Kazi hawapati

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…