Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Inabidi uwe jasiri maana mengine unaweza ona badala yakufutilia unakauka na simu mkononi[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Niko imara mkuu ukizingatia simwelewi tangu mwaka huu uanze
 
ha ha ha safi sana huyo dada mana wanaume mnapanga mademu wengi tu nyie mkipangwa kelele. vumilieni
Yaani acha kelele hizo ila akifanya mwanaume ni kidume [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndo ivyo mkuu tena bora ujue demu anakucheat kabla hujaoa aisee mke nadhani ndo anauma zaidi, inabidi twende nao sawa ila ukishaona dalili bora kaa pembeni mapema
Mkiwa waaminifu wote ndiyo inapendeza sana, sio 1 awe mwaminifu mwingine mchepukaji mbaya akija kulipa ni inauma kweli
 
Mheshimiwa, nikupe hongera kwanza kwa kufuatilia mambo namna hiyo Mimi mapema ningejiondoa huwa siumizi kichwa. Na huwa siongozwi na hisia nakiacha kichwa kifanye kazi yake. Huwa sijali maamuzi nitakayoyachukua kama yatanidhuru au laaa. Ninachokijua Mimi ninafanya kama inavyotakikana ifanywe. Maadam imethibiti kwamba ni kweli imethibiti bhaaaaaaaasi, nachukua hatua.

Moyo kuumia utaumia lakini kinachonipa matumaini ni kwamba nimejiondoa kwenye hasara kubwa. Sina hulka ya bifu au kumchukia mtu, akinichukia ni yeye akiwa peace nami its okay tutakuwa marafiki tu. Baada ya hapo maisha yanaendelea kama kawa.
 
Back
Top Bottom