Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

dawa yao mimba tu [emoji28][emoji28][emoji28] ata uende america atakutafuta tu
 
Samahani kidogo. Mimi nimegundua kuwa wanawake huwa wanatumia sana akili katika mapenzi kuliko sisi wanaume. Unaweza ukamdharau mwanamke kumbe anakusoma kimapenzi. Na akisha kuelewa akafanya lolote kama kuongeza spidi katika mapenzi. Tatizo letu wanaume tukisha kolea kwenye penzi akili ya kawaida haifanyi kazi. Kwahiyo ukiona gari linakimbia sana kawaida unakanyaga "breki". Sasa sisi wanaume wengi huwa tunasahau kukanyaga "breki" mapenzi yakienda spidi. Tujirekebeshe!!!! tusisahau kukanyaga "breki" spidi ikizidi
 
Mkuu Sasa sisi tusiotulia sehemu moja kwa mihangaiko mahusiano inabidi tupige chini tuu.
 

Umekosea kidogo kwenye kumaliza, wanawake na wanaume wote waongo sema mwanamke anauma zaid
 
Ila whatsapo web hauiweki kwenye simu mzee whatsapp web ni ya kwenye PC
 
Kwenye mapenzi hua tunatabia moja. Tunauwezo wa kumuaminisha mtoto wa kike kuwa ye ndo yeye huwezi kufanya chochote bila yeye, au hakuna mwanamke anaeweza kuchukua nafasi yake. Ikifikia hatua iyo anaanza kuvimba sasa.

Na kuna wanawake wakianza kucheat ni rahisi kuonesha dalili. Bila hata kumdukua dalili tu zinaweza kuonesha kua huyu mtu sipo mwenyewe. Sema tu mtu unaweza kuamua kuzipotezea izo dalili uendelee nae au ukampiga chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…