Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Du umeandika kwa mtirirko mzuri sana .hii siyo kamba ,ila we jamaa una element za uvumilivu sana.utafika mbali mkuu take it from me. Yaani mwanamke aninyamazie week halafu nendelee kumtafuta huyo labda tumefunga ndoa na tuna watoto.lakini hawa wengine akizingua tu.unadelete namba yake una save ya mwingine
Kweli aisee nishajifunza kitu. Siwezi kumng'ang'ania tena mtoto wa kike akimute na mimi na mute mazima
 
Haya sawa kwasababu Mungu alimuumba Adam na kina hawa wengi

Pamoja na hayo, ndiyo mana biologically mwanamke huwa na mda anapumzika kama kipindi cha mimba au menstruation cycle , ila mwanaume siku zote yuko online.
 
ila kiukwel me nina dem wangu ananipenda hadi namuonea huruma,, kuna siku nilipata safari kwenda mkoani pamoja na kwamba nilimwambia nikienda simalizi week lakini wakati namuaga alimwaga chozi huku akinitaka nisiondoke alilia sana ila mwesho wa siku alikubali niondoke ila nilimuacha akiwa analia akidai awez kukua mbali na mm
 
Mkuu usiamini sana hawa watoto wa kike bongo movie sana. Anaweza kukuigizia ili usijue anayoyafanya nyuma ya pazia.
 
Kwahiyo mwanaume yeye huwa hapumziki? Muda wote yupo kazini ? Mbona kila siku ke wanalalamika hakuna kitu ni makopa tu?

Me hana mapumziko, ukikutana na anayetaka mapumziko basi jua hakuna kitu, mbegu kila siku zinazakishwa, kadili unavyozitoa ndivyo zinavyozalishwa
 
Back
Top Bottom