Watu wengi wanashindwa kutofautisha mahusiano na mapenzi.
Siyo kila uliye naye kwenye mahusiano ana mapenzi na wewe. Mapenzi (love) hupatikana kwa mtu au kitu chochote kinachofurahisha hisia. Love is obtained from a person or thing that makes your emotions happy.
Mapenzi hupatikana hata kwa vitu siyo lazima awe mtu. Ndiyo maana utasikia mtu anakwambia mm napenda sana muziki. Na huko Ulaya Kuna watu wanapenda wanyama.
Kwa hiyo mahusiano yanaweza kuchagizwa na upwiru tu. Halafu ktk kuukata upwiru mimba ikaingia.
Ikitokea mimba katika hali hii usimuoe binti kama huyo. Na wewe binti usilazimishe kuolewa na mwanaume ambaye amekuzalisha kwasabb ya kukata upwiru. Hii itakuwa siyo ndoa, itakuwa ndoano.
HITIMISHO
Tafuta mtu (mke/mume) ambaye ukiamungalia tu hisia zako zinafurahi. Utajikuta tu unataka kumpa hela, kumnunulia zawadi, kumfunulia papa n.k.