Usimuoe binti kwa sababu tu umemtia mimba. Usioe kwa huruma, hakikisha unaona mtu anayefurahisha hisia zako

Usimuoe binti kwa sababu tu umemtia mimba. Usioe kwa huruma, hakikisha unaona mtu anayefurahisha hisia zako

Wa hivi wanaelewa kuwa mtotnt kapaikana wakati wa kukata upwiru tu, wala siyo mapenzi. Ni wale wasiosukumwa na ugumu wa maisha. Wako vizuri kimaisha. Anachotafuta ni tru love.
Nayo ni sababu japo zipo sababu zaidi ya hiyo.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Kuna bahati mbaya though mtoto haji duniani bila mpango maalumu.
Inaweza kutokea ni kweli, ila angalau basi uwe muwazi kwa binti, usimtumie tumie. Usimdanganye danganye. Kuna wanaume tuna roho mbaya, kila tunapomuona binti anajaribu kumove on tunaingilia, tunamtongoza upya, binti anajionea sababu tayari mna mtoto basi anarudi mazima halafu akitumika siku mbili tatu anaachwa tena anaumiaa mpaka anakuwa sugu au mhuni au anapata tatizo la saikolojia anashindwa kukusahau hata akipata mtu inashindikana.
 
Huyo wa kuachana nae tu. Ila mkubalieane kuhusu malezi.
Hapa kwenye malezi ni kuwa makini. Unaweza kutoboka mifuko mpk utembee uchi.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Kwann tusifanye njia rahisi ya kwamba wewe mwenye upwiru, tuliza kichwa chako kisha oa mwanamke unayempenda ili mtulizane upwiru wenu huko.
 
Usimpe binti mimba usiyemhitaji awe mama wa watoto wako.

Hakunaga mwanaume aliyewahi na atakayeweza kumpa mimba Mwanamke bila Mwanamke mwenyewe kukubali.

Ishu ya mimba ipo chini ya utawala wa Mwanamke.

Sheria ya abortion ipitishwe.

Hapa ingekuwa sahihi kusema, usizini. Inatosha
 
Hakunaga mwanaume aliyewahi na atakayeweza kumpa mimba Mwanamke bila Mwanamke mwenyewe kukubali.

Ishu ya mimba ipo chini ya utawala wa Mwanamke...
VAA CONDOM, MANII NI YAKO, MWANAMKE HUMTAKI, RISK ZA NINI? UTAZAA NA WANGAPI?
 
Halafu mnaanza kuponda single mother wakati tatizo mnalitengeneza wenyewe, mimi dem kama naona simuhelewi,Chenga na akililess sipigi kavu mipira ipo kibao mingine ninayo ndani na kwenye wallet.

Plan yangu demu nitakaye mzalisha ndiye nitakaye muoa.
 
Usimuonee mwanamke huruma isipokua mama yako tuu. Huruma zako ndiyo pigo lako na ukicheza uhai wako upo hatarini
 
Back
Top Bottom