Usimwamin mwanamke wko hata kama ameishika dini maumivu niliopata leo sitayasahau kamwe

Usimwamin mwanamke wko hata kama ameishika dini maumivu niliopata leo sitayasahau kamwe

Poule Sana Kaka ... Jifunze kubeba funzo katika mateso .. naamini umejifunza kitu

Pia.. nasisitiza siku nyingine ukipokea text ya kuachwa au umeachwa usijibu narudi usijibuuu nasisitiza usijibu... Soma text Kisha tulia ... Elewa imefika mwisho endelea na maisha.. usijibu kitu. Wala kujieleza

Muache..

Funzo.
1.Usiache mtu kwa ajili ya mtu
2.Usiamini mtu ... Kaa kwa taahadhar
3.Mapenzi huisha.
4.Jijenge kiuchumi na kiafya
5.usifanye jambo kwa msukumo wa hisia
6.Ishi na wanawake wa akili sio hisia


Kila kheri kwa utaepata.. yajayo yanafurahisha
Ukweli
 
Back
Top Bottom